''I love you Baby, kissess mwaaah'' ndio maneno nakutana nayo kila asubuhi, wewe je?

Sisi wengine tukiamka ni kruuupp unafungua pazia kwanza β€œmamaaaa hatujaandaa watoto waende shule mida ya school bus hii”. Na mwenzangu naye huko anashtukaaa kruppppp β€œnina presentation leo nilitakiwa niwahi saa moja niwe oficin” hapo anamalizia kuongea mswaki upo mdomoni.

Hata muda wa salamu haupo yaani licha ya kubusiana.
 
jamaan pole!
 
Mhhhhh....πŸ€”
Ebu ngoja nianze kesho namimi nione kama nitaweza, kwanza najua waifu ataniambia namfanyia usanii ili nimchiti vizuri...🀣
 
Mhhhhh....πŸ€”
Ebu ngoja nianze kesho namimi nione kama nitaweza, kwanza najua waifu ataniambia namfanyia usanii ili nimchiti vizuri...🀣
hata mbuyu ulianza kama mchicha!
 
Aisee ngoja nikumbuke kwanza πŸ€”πŸ€”,, maana toka nililala jana na hekaheka nimeamka nazo hadi asubuhi..hata, sikumbuki niliambiwa niniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣Duh!hizo hekaheka kibokooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…