Sea Beast
JF-Expert Member
- Aug 5, 2022
- 2,212
- 4,808
Natumai your here for fun 😂hizo ni text za makasiriko
mna madeni kausha damu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Natumai your here for fun 😂hizo ni text za makasiriko
mna madeni kausha damu!
i guess!Natumai your here for fun 😂
jamaan pole!Sisi wengine tukiamka ni kruuupp unafungua pazia kwanza “mamaaaa hatujaandaa watoto waende shule mida ya school bus hii”. Na mwenzangu naye huko anashtukaaa kruppppp “nina presentation leo nilitakiwa niwahi saa moja niwe oficin” hapo anamalizia kuongea mswaki upo mdomoni.
Hata muda wa salamu haupo yaani licha ya kubusiana.
Mimi natafuta kwanza pesa ..bila pesa makisi ni ujinga tu mkuuasante na wewe je?
we toa kiss ni bure, acha fujo!Mimi natafuta kwanza pesa ..bila pesa makisi ni ujinga tu mkuu
hata mbuyu ulianza kama mchicha!Mhhhhh....🤔
Ebu ngoja nianze kesho namimi nione kama nitaweza, kwanza najua waifu ataniambia namfanyia usanii ili nimchiti vizuri...🤣
Obu ngoja tuone...🤣hata mbuyu ulianza kama mchicha!
🤣 🤣 🤣Obu ngoja tuone...🤣
fb kumbe ni ya wapuuzi, ndio maana imeletwa hapaStorry za kipuuzi kama hizi peleka fb
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Duh!hizo hekaheka kibokoooAisee ngoja nikumbuke kwanza 🤔🤔,, maana toka nililala jana na hekaheka nimeamka nazo hadi asubuhi..hata, sikumbuki niliambiwa nini😂😂😂
Sio mchezo 😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Duh!hizo hekaheka kibokooo
Uuuwi ahahahahahaHuwa naamshwa na miamala ya kuwithdraw hela ya mikeka hayo mengine siyataki na sina muda nayo 😀
Yeah tunaenjoy na hela mambo mengne sio lazima sema tu tunayaendekezaUuuwi ahahahahaha
Emotional Damaged
HongeraYeah tunaenjoy na hela mambo mengne sio lazima sema tu tunayaendekeza
ASANTEHongera