''I love you Baby, kissess mwaaah'' ndio maneno nakutana nayo kila asubuhi, wewe je?

Sisi wengine tukiamka ni kruuupp unafungua pazia kwanza “mamaaaa hatujaandaa watoto waende shule mida ya school bus hii”. Na mwenzangu naye huko anashtukaaa kruppppp “nina presentation leo nilitakiwa niwahi saa moja niwe oficin” hapo anamalizia kuongea mswaki upo mdomoni.

Hata muda wa salamu haupo yaani licha ya kubusiana.
 
jamaan pole!
 
Mhhhhh....🤔
Ebu ngoja nianze kesho namimi nione kama nitaweza, kwanza najua waifu ataniambia namfanyia usanii ili nimchiti vizuri...🤣
 
Back
Top Bottom