Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
- Thread starter
- #121
mno!Nikioa na mm ntaenjoy
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mno!Nikioa na mm ntaenjoy
Yupo gym anafanya mazoezi ya kunyoosha misulihahahaha
saafi sana kwake
UTI na Kukojoa Usaha atazisikia kwa jirani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila weweTunaibiwa nini haya ngoja mumuibe huyu mchina na hajui kikwao wala nini anajua kikorea
Haya haya sasa, mimi kila nikiamka asubuhi, mume ananiambia morning babes!
I love you, na mabusu tele, mwaaaah!
Sasa sijui upande wako ukiamka kunakuwaje? Unaamka na stress za kausha damu (Marejesho/madeni)? Kuwa mkweli basi tuambie, ni stress au mabusu?
Msiopata mabusu asubuhi nawasalimu kwa jina la Money Penny,
ninawachumu mwaaaaaaah!
View attachment 2700391
View attachment 2700392
kidumu chama pendwaYupo gym anafanya mazoezi ya kunyoosha misuli
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ngoja nikuache..manka acha uchokozi 🤣🤣
dronedrake tumuambie ama tumuacheTobaa🤔, we SI mwenyekiti wa chama Cha kumwaga nje na sheria ya mkono bao🤒🤒 cc mshamba_hachekwi 🤣😂 Ume nitumia nini hiki pm🤒
View attachment 2700405
kwahiyo wewe unalala?!Kuna msemo wa wazungu unasema hivi;
"Ukisikia mtu analalamika kuwa halali kwa sababu ya kelele za mtoto wake mchanga, ujue huyo hana mtoto"
Ndugu Mteja, Sasa HAKUNA TOZO TENA. Tuma pesa kwenda Tigo au mitandao mingine, kwenda Benki au kutoka Benki kwenda Tigo Pesa kwa gharama zisizo na TozoWewe I love you,mwenzetu@Pridah anaamka na "IMEDHIBITISHWA UMEPOKEA..."sijui Kapeace Leejay49 na Evelyn Salt mnaamkaje huko kwenu😁😁😁😁
anajua drill yote anajitoa ufahamu tudronedrake tumuambie ama tumuache
🤣🤣🤣🤣WatakufilisiNdugu Mteja, Sasa HAKUNA TOZO TENA. Tuma pesa kwenda Tigo au mitandao mingine, kwenda Benki au kutoka Benki kwenda Tigo Pesa kwa gharama zisizo na Tozo
Na ikifika usiku wananikumbuka tena kwa "ndugu mteja umetumia 75% ya internet" 😁
I mean no malice to nobody, mshamba_hachekwi na dronedrake 🤒anajua drill yote anajitoa ufahamu tu
he means all the malice to us
We kama uliniblock shauri Yako utakosa ubuyu,😅sijaona
NITUMIE INBOXWe kama uliniblock shauri Yako utakosa ubuyu,😅
nadra sana....akiwa wa ndoa na anakuita ita hivyo ujue ni bingwa wa kuchepuka. hiyo kukuita baby sijui honey ni kukupumbaza tu (ndoa si mapenzi, ni majukumu)na mume wa ndoa is the best at it
AMENIIta for the past 38 year, mapumbazo vepe?nadra sana....labda awe wa ndoa ni bingwa wa kuchepuka. hiyo kukuita baby sijui honey ni kukupumbaza tu
Aisee ngoja nikumbuke kwanza 🤔🤔,, maana toka nililala jana na hekaheka nimeamka nazo hadi asubuhi..hata sikumbuki niliambiwa nini😂😂😂Wewe I love you,mwenzetu@Pridah anaamka na "IMEDHIBITISHWA UMEPOKEA..."sijui Kapeace Leejay49 na Evelyn Salt mnaamkaje huko kwenu😁😁😁😁
hizo ni text za makasirikoHizo sms mbona hazina mguso labda kwa mtoto wa secondary.
Text za watu wazima kwa asubui
"Natumai umzima, uwe na Kazi njema love"
Hi ndio humgusa mtumzima ndani yake ina upendo, kujari nk
Sio "Moenzi kiss Mwaaah" tafuta mpenzi usitafute watoto.