''I love you Baby, kissess mwaaah'' ndio maneno nakutana nayo kila asubuhi, wewe je?

''I love you Baby, kissess mwaaah'' ndio maneno nakutana nayo kila asubuhi, wewe je?

Haya haya sasa, mimi kila nikiamka asubuhi, mume ananiambia morning babes!
I love you, na mabusu tele, mwaaaah!

Sasa sijui upande wako ukiamka kunakuwaje? Unaamka na stress za kausha damu (Marejesho/madeni)? Kuwa mkweli basi tuambie, ni stress au mabusu?

Msiopata mabusu asubuhi nawasalimu kwa jina la Money Penny,
ninawachumu mwaaaaaaah!

View attachment 2700391

View attachment 2700392

Kuna msemo wa wazungu unasema hivi;
"Ukisikia mtu analalamika kuwa halali kwa sababu ya kelele za mtoto wake mchanga, ujue huyo hana mtoto"
 
Wewe I love you,mwenzetu@Pridah anaamka na "IMEDHIBITISHWA UMEPOKEA..."sijui Kapeace Leejay49 na Evelyn Salt mnaamkaje huko kwenu😁😁😁😁
Ndugu Mteja, Sasa HAKUNA TOZO TENA. Tuma pesa kwenda Tigo au mitandao mingine, kwenda Benki au kutoka Benki kwenda Tigo Pesa kwa gharama zisizo na Tozo

Na ikifika usiku wananikumbuka tena kwa "ndugu mteja umetumia 75% ya internet" 😁
 
Hizo sms mbona hazina mguso labda kwa mtoto wa secondary.

Text za watu wazima kwa asubui

"Natumai umzima, uwe na Kazi njema love"

Hi ndio humgusa mtumzima ndani yake ina upendo, kujari nk

Sio "Moenzi kiss Mwaaah" tafuta mpenzi usitafute watoto.
 
hizo ni text za makasiriko
mna madeni kausha damu!
 
Back
Top Bottom