I love you - Rayvanny | Wimbo Maalum kwa wapendanao

I love you - Rayvanny | Wimbo Maalum kwa wapendanao

Mapenzi matamu
Niwapo nawe mpenzi
Sioni mwingine
Wa kufanana na wewe😍
Nitalienzi penzi lako
Sitokuacha asilani
Nitalienzi penzi lako
Sitokuacha asilani
.
.
.Penzi lina raha yake asiyejua ni nani 😍
Penzi mfano wa Pete uvaapo kidoleni 😍
Nikitafakari penzi,

Unalonipa Selina,

Kukuacha mi siwezi,

Jua kwako akili sina,...
 
Back
Top Bottom