I Love you too much Lamomy

Ngoja nifunge hesabu kwanza, halafu nitaangalia nina mialiko mingi leo. Sasa ww huko nyumbani huna mke?? Mi nataka kula pilau la wifi 😂😂
Hujui mm na ndoa tulikosana tangu ni tumboni mwa mamayangu, we fika bila kukosa utakula na kunywa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…