I Love you too much Lamomy

Asubiri dirisha la usajili lifunguliwe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Huu nao unyanyasaji mwingineπŸ˜…πŸ˜…, mtu ategemee afu kumbe mchezaji anasikilizia dili litiki sehemu ingine , dirisha linafungwa anaenda huko anakosa vyote
 
Asilimia kubwa wanaume tukiwekewa mtego na mwanamke huwa hatutoboi Yani tunajaaga mazima mazima, wanaume emotional control ndogo. Lakini akili kumkichwa lazima ujicontrol lasivyo utakufa vibaya
Hawa viumbe wanatuwezea sana, na wanajua namna ya kupeleka mashambuilizi 🀣, hata samsoni na ubavu wake Ali surrender kwa delila
 
Hawa viumbe wanatuwezea sana, na wanajua namna ya kupeleka mashambuilizi 🀣, hata samsoni na ubavu wake Ali surrender kwa delila
Samson amepuyanga mimi na wewe ni nani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, kuna kanamna wamepewa uwezo wa ushawishi . Imagine hela umetafta kwa shida unatoa kwa hiari , eti shika ya soda elfu 10 soda gani elfu 10 shenzi kabisa, nauli 25k unakuta temeke - sinza shenzi type πŸ˜„
 
Bado hamjasema πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mzee hisia zinanguvu kupita akili🀣🀣🀣
 
unataka Unikule kimasihara uje ujimwambafy eti
Ah wapi.. hayo ya vijana, mm na age hii siwez kuwa na hizo. Although, sijakuwa attentive sana na kufatilia fatilia au kupenda kudet na wanawake wengi.

Yani kwa ufupi mm ni husband material πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…