I Love you too much Lamomy

I Love you too much Lamomy

Kwani hujasikia Dr Kisanga wa Muhimbili kasema wagonjwa waneongezeka?who cares?tuliagizwa na Bwana tutunze sana mioyo yetu na sio tutunze Figo😂
😂😂😂😂 gadner mwenzio anajuta ss hivi
 
🤣🤣🤣🤣 Hivi anajua unasagia hivyo kunguni?tatizo Jack Palladino mzungu sana mi mzaramo tutawezana kweli?hawezi kula utumbi wa kuku huyo na kisungura
Kweli sikapendi toka kisutane siku moja na member mmoja hivi, nimekaona ka ovyo 🤣🤣🤣
Turudi kwa Jack huyo nimempitisha bila kupingwa, hiyo ya uzungu na uzaramo haihusu kikubwa mpendane. Jack Palladino nimekupa dada yangu. Napenda uwe shemeji yangu
 
Back
Top Bottom