I Love you too much Lamomy

I Love you too much Lamomy

Kweli sikapendi toka kisutane siku moja na member mmoja hivi, nimekaona ka ovyo 🤣🤣🤣
Turudi kwa Jack huyo nimempitisha bila kupingwa, hiyo ya uzungu na uzaramo haihusu kikubwa mpendane. Jack Palladino nimekupa dada yangu. Napenda uwe shemeji yangu
Daaah 🤣🤣🤣....Huyo Jack mtasha sana mi nitaachika ghafla bwana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hatareee!! Hivi walianza dose?
JF ina mambo mengi km series ya Spartacus huyu kampanda yule, na yule kapandwa na yule bas tafrani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yule kambong'olea huyu, huyu alibong'oleshwa na yulee, yaan full tafraniii.

Wana kadi zao hapo CTC Amana. Woiiiih
 
Mtawezana bana mi napenda muwe couple humu, halafu Jack hana mambo mengi [emoji12]
Halafu usimsemee muache aseme mwenyewe [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mnanichanganya ujue nyie wana ndugu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yule kambong'olea huyu, huyu alibong'oleshwa na yulee, yaan full tafraniii.

Wana kadi zao hapo CTC Amana. Woiiiih
😂😂😂😂 nimecheka mpk nimepaliwa udugu, washafungua na mkadi kumbe?? 🤣🤣🤣
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mpk nimepaliwa udugu, washafungua na mkadi kumbe?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wasifungue? Wao hawaogopiiii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Files zao zipo huko, ni kuitwa tyuuh wakachukue kunde wabugieee.

Uduguu em huko, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wasifungue? Wao hawaogopiiii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Files zao zipo huko, ni kuitwa tyuuh wakachukue kunde wabugieee.

Uduguu em huko, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂 kwahiyo ss hivi wanabugia??
Dah! Ila roho inaniuma tumepoteza mwanandugu kwa sababu ya sele nimelia sana 😭😭😭😭
 
Back
Top Bottom