I Love you too much Lamomy

Daaah 🀣🀣🀣....Huyo Jack mtasha sana mi nitaachika ghafla bwana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hatareee!! Hivi walianza dose?
JF ina mambo mengi km series ya Spartacus huyu kampanda yule, na yule kapandwa na yule bas tafrani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yule kambong'olea huyu, huyu alibong'oleshwa na yulee, yaan full tafraniii.

Wana kadi zao hapo CTC Amana. Woiiiih
 
Daaah 🀣🀣🀣....Huyo Jack mtasha sana mi nitaachika ghafla bwana
Mtawezana bana mi napenda muwe couple humu, halafu Jack hana mambo mengi 😜
Halafu usimsemee muache aseme mwenyewe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mtawezana bana mi napenda muwe couple humu, halafu Jack hana mambo mengi [emoji12]
Halafu usimsemee muache aseme mwenyewe [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mnanichanganya ujue nyie wana ndugu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yule kambong'olea huyu, huyu alibong'oleshwa na yulee, yaan full tafraniii.

Wana kadi zao hapo CTC Amana. Woiiiih
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nimecheka mpk nimepaliwa udugu, washafungua na mkadi kumbe?? 🀣🀣🀣
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mpk nimepaliwa udugu, washafungua na mkadi kumbe?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wasifungue? Wao hawaogopiiii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Files zao zipo huko, ni kuitwa tyuuh wakachukue kunde wabugieee.

Uduguu em huko, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mnanichanganya ujue nyie wana ndugu.
Udugu tumshawishi dada na Jack wawe pamoja, hutaki tuwe na shemeji wa kitasha?? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mtawezana bana mi napenda muwe couple humu, halafu Jack hana mambo mengi 😜
Halafu usimsemee muache aseme mwenyewe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Namuelewa sanaaaa mbona🀣🀣🀣
 
Wasifungue? Wao hawaogopiiii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Files zao zipo huko, ni kuitwa tyuuh wakachukue kunde wabugieee.

Uduguu em huko, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kwahiyo ss hivi wanabugia??
Dah! Ila roho inaniuma tumepoteza mwanandugu kwa sababu ya sele nimelia sana 😭😭😭😭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…