I Love you too much Lamomy

Umeogopa kusema ulichotaka kusema??
Hongera nimekwambia nimemkubali?? 🀣🀣🀣
😁😁😁😁😁😁Ooooooooh ngoja kwanza ila ushaelewa najua 😁😁😁....

Mpya ya Leo nimeokota dodo kwa mpapai yaan hii akiskia wizo sijui taweka wapi sura yangu
 
Udugu tumshawishi dada na Jack wawe pamoja, hutaki tuwe na shemeji wa kitasha?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu una uhakika na hilo? Tusije laumiwa baadae?
 
Namuelewa sanaaaa mbona🀣🀣🀣
Oyooooooo!!! Mambo si hayo ila sio kesho kile kibabu chako kikianza kukuita usingizie pombe 🀣🀣🀣🀣
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu una uhakika na hilo? Tusije laumiwa baadae?
Uhakika ninao, wa kutulaumu hakuna labda wazingue wenyewe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo ss hivi wanabugia??
Dah! Ila roho inaniuma tumepoteza mwanandugu kwa sababu ya sele nimelia sana [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
"We selemanii wee eeeh selee"

"Mbona km una laana seleee, aaah seleee"
"Unatafuta lawamaa selee, aaah seleee"

Mirungi mishishaa, mibangii selemaniiiiiiiiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Uhakika ninao, wa kutulaumu hakuna labda wazingue wenyewe [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] km mwana familia, shemejii amepita bila kupingwaa.
 
😁😁😁😁😁😁Ooooooooh ngoja kwanza ila ushaelewa najua 😁😁😁....

Mpya ya Leo nimeokota dodo kwa mpapai yaan hii akiskia wizo sijui taweka wapi sura yangu
Dodo lipi tena?? Hebu tuambie dada zako tujue usije kuwa umeokota matunda ya nyoka 🀣🀣🀣🀣
 
"We selemanii wee eeeh selee"

"Mbona km una laana seleee, aaah seleee"
"Unatafuta lawamaa selee, aaah seleee"

Mirungi mishishaa, mibangii selemaniiiiiiiiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Udugu utaniua 🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] km mwana familia, shemejii amepita bila kupingwaa.
Oyooooooo!!! Sasa huyu ndio mwenyewe, shemeji tunaye na tunatamba naye πŸ€Έβ€β™€οΈπŸ€Έβ€β™€οΈπŸ€Έβ€β™€οΈ
 
Dodo lipi tena?? Hebu tuambie dada zako tujue usije kuwa umeokota matunda ya nyoka 🀣🀣🀣🀣
Hapana hapana...
Yaan hapa kasema nitume nauli ya boda kuna sehemu kafika....
😁😁😁😁😁😁😁😁
Ila mpaka sasa hivi moyo unafanya paaah naona kama watanilamba hivi ten langu dada ,😁😁😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…