I Love you too much Lamomy

I Love you too much Lamomy

Humu ukitangaza tu umeishaaaaa😁hapa saiv watu ni wengi wanaosoma lkn hawaoneshi reaction wametulia wanakusanya data wanaangalia mpaji anasema nn siku kikiumana hutaamin hadi screen shot zitaletwa
Achana nao ww niambie mimi tyuuu!! 😜
Hao ni wazee wa ovyo si inawaona huko juu yanavyojisemesha km matahira šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚
 
🤣🤣🤣🤣Ni vile kakuta mdogo wangu hupendi dhambi,mi ningekula nauli,Tena namtajia mkoa wa mpakani na Burundi Ili Hela iwe ndefu
Ww tena šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚
Kanikuta nimeshavuka level hizo, ila angehadithia hivo vizinga!! Ss hivi sijui nimekuwaje hata nikimpenda mwanaume sijui naonaje kumuomba vihela vyake!!
Kwanza naona aibu, sijui nimerogwa??!!
Nakuwa na moyo wa huruma kabisa, naweza mimi ndo nikampa.!! Hili pepo lishindwe
 
Back
Top Bottom