father-xmas
JF-Expert Member
- Mar 23, 2010
- 971
- 1,117
Mange Kimambi namba ?
Mange Kimambi namba ?
Heaven on Earth sorry kama sijaweka wale wanaokuvutia sweetheart.. mimi macho yangu yanavutiwa sana na hawa..Umetumia Vigezo gani!!!!!!!!!!!!
nahisi kuna mabebs wa ukwee...wakareeeeez umewaacha
Heaven on Earth sorry kama sijaweka wale wanaokuvutia sweetheart.. mimi macho yangu yanavutiwa sana na hawa..
Hebu cheki hilo jicho la shamim kwanza..ni balaa...tatizo we ni ke mimi me kuna vitu vyangu naona ambavyo wewe huwezi kuviona..
Ila ka sintah nyie kazuri bhna,nilikaonaga juzi kati dah,mtoto softtttt,midomo yake sasa uwiii,kapo vzur sio mchezo
Mange kakomaa sana yule,halafu kakauka kama anaishi tandale wakat yupo usa
Ila ka sintah nyie kazuri bhna,nilikaonaga juzi kati dah,mtoto softtttt,midomo yake sasa uwiii,kapo vzur sio mchezo
Samahani naomba kuuliza...hivi wewe ni me au ke...narudia tena samahani iwapo swai langu litakukwaza..
Te te teee nami nasubiri hilo jibu

mmmmmmmmmh....
Te te teee nami nasubiri hilo jibu
Kuna tatizo??
Sijaona bado kilichokufanya ucheke,au unajichekesha?