I.M.O...Three most beautiful swahili bloggers

I.M.O...Three most beautiful swahili bloggers

father-xmas

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2010
Posts
971
Reaction score
1,117
Kwa mtizamo wangu hawa bloggers ndio warembo kuliko bloggers wengine wa kike wa Tanzania...Glory be to God for these beautiful pieces of his creation...

ZE.jpgyasi.jpgmsuko 4.jpg

Shamim mwasha nampa namba moja.
Yasinta Ngonyani chukua nafasi ya pili.
My baby miss Manongi nampa namba tatu.

swali.
Hizi picha tatu zina kitu kinafanana..Niambie ni kitu gani upate zawadi. ya xmas...
kumbuka mimi ni father-xmas...
 
Ila ka sintah nyie kazuri bhna,nilikaonaga juzi kati dah,mtoto softtttt,midomo yake sasa uwiii,kapo vzur sio mchezo
 
Umetumia Vigezo gani!!!!!!!!!!!!

nahisi kuna mabebs wa ukwee...wakareeeeez umewaacha
Heaven on Earth sorry kama sijaweka wale wanaokuvutia sweetheart.. mimi macho yangu yanavutiwa sana na hawa..
Hebu cheki hilo jicho la shamim kwanza..ni balaa...tatizo we ni ke mimi me kuna vitu vyangu naona ambavyo wewe huwezi kuviona..
 
Last edited by a moderator:
Heaven on Earth sorry kama sijaweka wale wanaokuvutia sweetheart.. mimi macho yangu yanavutiwa sana na hawa..
Hebu cheki hilo jicho la shamim kwanza..ni balaa...tatizo we ni ke mimi me kuna vitu vyangu naona ambavyo wewe huwezi kuviona..

Nah I was just asking....I like Shamim ...that woman has something...........
 
Ila ka sintah nyie kazuri bhna,nilikaonaga juzi kati dah,mtoto softtttt,midomo yake sasa uwiii,kapo vzur sio mchezo

Sintah mrembo sanaa...list yangu ya ukweli...hawa wadada niliowaweka ni naturally beautiful sea Sintah hajui tu yaan angeachia nywele zake za asili aachane na hizi za wahindi ni mrembo sana..Shamim n Yasinta ngonyani wanajijua kuwa ni wazuri hawaogopi kuonekana na nywele zao za asili..
 
Mange kakomaa sana yule,halafu kakauka kama anaishi tandale wakat yupo usa

Mange kwa wapenda vimodel english figure yuko poa...mimi napenda curvy women ndo maana wote kwenye hii list yangu wako vizuri kwenye sura na maumbo yao pia yamejazia vizuri mashaallah...
 
Ila ka sintah nyie kazuri bhna,nilikaonaga juzi kati dah,mtoto softtttt,midomo yake sasa uwiii,kapo vzur sio mchezo

Samahani naomba kuuliza...hivi wewe ni me au ke...narudia tena samahani iwapo swai langu litakukwaza..
 
Kuna tatizo??

Hakuna tatizo...ni katika kutaka kujuana zaidi rafiki yangu....nisamehe kama nimekukwaza....naomba nisiwe mtu wa kukuharibia ijumaa yako...ignore my question....Respect sana mkuu...
 
Back
Top Bottom