I need a friend to text me love me and share good things

Aaaareererereerereeerereereee!
Iiiiiigggweeeeeeeeeeeeeeeeeee! Tawire wifi tawireee

Na Smart911 babalaoo tunamkaribisha sanaaa!
Oyoooooooooo!!! Harusi tunayo
cocastic andaa kijora na tarumbeta la kuserebuka kumuimbia wifi karibu nyumbani πŸ€Έβ€β™€οΈπŸ€Έβ€β™€οΈπŸ€Έβ€β™€οΈπŸ€Έβ€β™€οΈπŸ€Έβ€β™€οΈπŸ€Έβ€β™€οΈ
 
Kwa jinsi wifi alivyo mtanange utakuwa mzito usiku wa kwanza wa harusi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Afanye fasta, nilizaliwa kwa ajili yake tu ndio maana nilikuwa singo namsubiri.
 
Afanye fasta, nilizaliwa kwa ajili yake tu ndio maana nilikuwa singo namsubiri.
Chonde chonde usije kumpa sate πŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
 
Reactions: 511
Chonde chonde usije kumpa sate πŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
Sate wanapewa wale wanaotafuta madanga.
Huyu ni wife material kabisa, SweetyCandy
 
Wakuu hii ni I'd mpya nawapa tahadhali na maokoto yenu ..!

Shehe mmoja imebadilika kanzu tu
 
Reactions: 511
Wanao sema unashida hawaja kosea
 
angalia
hii ng'ombe inavyoniwewesekea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…