I need a friend to text me love me and share good things

I need a friend to text me love me and share good things

Kila tukijaribu kuipandisha anaishusha tena kwa speed ya 5G๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.. Palipobaki apambane na hali yake, me nishanyoosha mikono juu๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ
Tatizo uandishi tyuuu!!! Hapo ndo anaponichosha, ila siachi mana kamanda nishakula kiapo no retreat, no surrender ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Tatizo uandishi tyuuu!!! Hapo ndo anaponichosha, ila siachi mana kamanda nishakula kiapo no retreat, no surrender ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Kuna mtu kasema hata tukimchangia kodi anaweza akadraw hela na kuzichoma moto,, asa sijui tunafanya nae nini mgonjwa wetu ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
 
sasa najijibu mwenyewe umesikia mimi ni taaira kama ww? mimi nnazo timam zako zimepungua
Ukiona mtu anakusumbua ujue kuna kitu umemzidi unasema mie tahira umeniona wapi nikikukojolea puani au hilo limdomo kubwa kama beseni la vyombo . Halafu weka profile picture yako kama hatutazimia tuambie unaingiza sh. Ngapi hadi ujione unaweza sema tu. Maana kila anayedharau watu anakitu wewe unanini mie namdomo
 
Back
Top Bottom