I need someone to talk

I need someone to talk

Preta

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2009
Posts
24,320
Reaction score
18,852
Wapenzi leo nzima nilikuwa na siku nzuri sana yenye furaha tele, lakini ilipofika mida ya saa kumi jioni siku imeharibika kabisa, nimekosa raha na najisikia vibaya sana, ikizingatiwa mimi ni mtu wa kuwa na raha wakati wote na huwa siruhusu kabisa moyo wangu kuvunjika, lakini leo hali ni mbaya. Asante sana kwa wewe rafiki uliyenipigia simu kutoka mbali, in such a way umenifariji kwa kiasi fulani.
Wapendwa am feeling bad.
 
Pole sana, ingia JF kwenye jokes hali yako itabadilika! Kila la kheri.
 
mhandisi! Niko closer closer halafu nishindwe kuplay part! Pole mpenzi ntakusemesha punde....
 
Whats up big one! Pole asee, should i load my revolver?
 
mhandisi! Niko closer closer halafu nishindwe kuplay part! Pole mpenzi ntakusemesha punde....

usijali mhandisi.....ni mambo mambo tuu.....tutasemezana
 
Whats up big one! Pole asee, should i load my revolver?

asante sana.....revolver iwache kwanza maana itakuwa murder......ni kamlima kadogo tu nitakapita lakini ni kasumbufu sana kukakwea
 
asante sana.....revolver iwache kwanza maana itakuwa murder......ni kamlima kadogo tu nitakapita lakini ni kasumbufu sana kukakwea
Kama jembe likigoma unambie nilete excavator,
 
Mamito vipi tena i'm about to take a first flight 2moro morning si unajua A TOWN kuna shares zangu
 
TF ulizia kwanza kama the L lady is in somalia, abudhabi or india kabla hujakechi fliti asee.
 
Back
Top Bottom