I risk for benefits natafuta kazi kwa stake hii

Joined
Aug 12, 2025
Posts
7
Reaction score
4
Habari za muda huu wakuu
Kwa changamoto za ajira apa nchini inabidi mdaa mengine ku risk kitu upate unachokihitaji
Kila mtu ana ndoto ya kupata nafasi bora ya kazi… na mimi niko tayari kufanya kufanya kazi yoyote kwenye upande wa Quality | oil and Gas |weighbridge| field yoyote ya vipimo na viwango ili ndoto yangu iwe itimie

Mimi ni kijana (26) Degree ya industrial metrology and standardization (vipimo na viwango ) na chapa kazi kwel kweli

Au sio bwana kurudisha shukrani kwa hilo
Unapata Gari Family car ya (8 passenger seats)

🔹 Take home salary iwe ateast: Tsh 900,000 kupanda.

Siwezi kukaa ivi vii gari ina maliza bajeti mjini na nguvu ninazo

Kama mkurugenzi unaajiri au connection tuchekiane PM Iko wazi 🚀
 
Mz

Mzee mbna kama sjakuelewa iv....
 
Back
Top Bottom