I Show Speed Kuzuru nchi 20 Afrika. Tanzania haimo

I Show Speed Kuzuru nchi 20 Afrika. Tanzania haimo

Tanzania anakuja kufanya Nini!?Kuna kitu gani Cha ziada ambacho atakikosa kwenye hizo zilizo orodheshwa ambacho Tanzania kipo?

Kama ni Bahari Kenya ipo,kama ni mbuga za wanayama Kenya Zipo,Kama ni wamaasai Kenya wapo,Kama ni Mlima Kilimanjaro Kenya upo na ndipo unaonekana Vizuri zaidi ya Tanzania.

Kama ni Amani Kenya ipo,Kama ni Magorofa Kenya yapo ya Kutosha!

Hebu nieleze Tanzania angekuja kufanya Nini!

Sanasana Angekuja Tanzania (Dar es salaam) angekosa maji ya kujichambia akimaliza kunya,hapo ndipo tungehaibika kama Taifa,nafikiri hili amelizingatia ndiyo maana kwenye Orodha yake Tanzania haipo
 
1766332458614.jpg
 
Fani yake ni streamer, sasa ushajibiwa. Ni sawa na footballer aje halafu uulize fani yake ni nini, ni footballer. Sie tupo ujimani ndio maana inakua ngumu kuamini streamer ni fani bado unataka awe na talent nyingine
Hivi unaelewa hata ulichokijibu?

Unafananisha streamer na footballer? kwahiyo streamer wote mitandaoni wanacreate same content kisa wanaitwa streamer?

Nimeuliza talent yake,ana stream kitu gani? mfano playing games,creating art,chatting or doing other activities,

Ndani ya streamer ndio hua kuna content wanazo create,kusema tu streamer sio jibu la swali langu,umekuja kwa spidi ndio maana hujajibu swali langu,uwe unajipa muda wa kutafakari kwanza.
 
Kama una weledi huo ungeweza msearch tu streams zake ungejitosheleza kujijibu. Inawezekana lengo lako halikuwa kujua yeye ni nani bali kitu kingine zaidi ulichokusudia na hukukiweka bayana.
 
Kama una weledi huo ungeweza msearch tu streams zake ungejitosheleza kujijibu. Inawezekana lengo lako halikuwa kujua yeye ni nani bali kitu kingine zaidi ulichokusudia na hukukiweka bayana.
Kumbe ndio maana hukua na jibu coz ulijipa mamlaka ya kuwaza lengo langu kwa kuniwakilisha na kujiaminisha kua upo sahihi kwa ukiwazacho,

Kuhusu kumsearch,hapa JF pia ni search engine,kuna wataalamu wa kila aina,

Halafu sikua nimekuquote wewe,kumbe sababu kuu ya kuvamila swali langu,ulijiaminisha kua nina maana nyingine!
 
Back
Top Bottom