I Show Speed Kuzuru nchi 20 Afrika. Tanzania haimo

I Show Speed Kuzuru nchi 20 Afrika. Tanzania haimo

Nchi ambayo ilikua kitovu Cha usuhishaji, kitovu Cha amani, kitovu Cha kutatua migogoro ya wengine, siasa safi bila makando kando... Ila kwasasa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ naomba nilale...

Chilao
Mhaini hujambo?
 
Kumbe ndio maana hukua na jibu coz ulijipa mamlaka ya kuwaza lengo langu kwa kuniwakilisha na kujiaminisha kua upo sahihi kwa ukiwazacho,

Kuhusu kumsearch,hapa JF pia ni search engine,kuna wataalamu wa kila aina,

Halafu sikua nimekuquote wewe,kumbe sababu kuu ya kuvamila swali langu,ulijiaminisha kua nina maana nyingine!
Ninakiri kushindwa na kupoteza pambano, mjadala sasa ubaki speed haji Tanzania. Angekuja Machawa wangeitumia hiyo ziara kuonesha utalii mambo ni bambam.
 
Kama ni huyo kwenye thread haitajiki kwanza tunaye RRONDO hapa mzee wa mkeka anatosha.
Huyo aishie huko huko si tutafute maji kwanza.
 
Back
Top Bottom