Aliyewaita utopolo wala hakukosea.Utopolo wanataka mchezaji wa kigeni apewe promo kubwa hata kama amefunga magoli mawili kwenye mechi 40, lakini mchezaji wa ndani aliyefunga magoli 6 na assist 3 kwenye mechi 15 apuuzwe!
This is what they call mental slavery.
Nyie endeleeni kuchezea shilingi chooni, Kwa usajili mnao ufanya zipo Dalili za timu kushuka Daraja.Utopolo wanataka mchezaji wa kigeni apewe promo kubwa hata kama amefunga magoli mawili kwenye mechi 40, lakini mchezaji wa ndani aliyefunga magoli 6 na assist 3 kwenye mechi 15 apuuzwe!
This is what they call mental slavery.
kwa jinsi timu zote za ligi zilivyocheza na Simba msimu ulioisha kwa jihadi na kukamia pira gwaride siyaoni maajabu ya Kyombo wala Sakho!!Timu zote kasoro Simba tu zinampenda Injinia Hersi kwa kuonesha mfano jinsi kiongozi wa timu anavyotakiwa kuibeba timu na heshima zao kwake ni kuitandika Simba au wakipona wapate sare!!Hayo ndio maisha atakayoyaishi ndani ya simba, hata kama angesajiliwa kimyakimya,la muhimu kwake ajitahidi awape matokeo mazuri hapo atakua mfalme.
Nyie endeleeni kuchezea shilingi chooni, Kwa usajili mnao ufanya zipo Dalili za timu kushuka Daraja.Aliyewaita utopolo wala hakukosea.
Msemaji wa Simba ni zaidi ya mpuuzi.Hili ni kosa la msemaji wa Simba amejaa utoto sana.
Ni kweli...mafanikio yake uwanjani yatawaumbua hao mashabiki uchwara.Bila shaka bench litamjenga kujiamini ili awaumbue wapuuzi wachache mashabiki maandazi wa Simba na Yanga
Wewe kweli redio...Nyie endeleeni kuchezea shilingi chooni, Kwa usajili mnao ufanya zipo Dalili za timu kushuka Daraja.
Sasa msitegemee Yanga awe anafanya kazi ya kuwabeba Ili msishuke Daraja kama Walivyo fanya 1989. Acheni siasa fanyeni usajili, msimu ujao ni mgumu kuliko huu ulio Isha.
Mtakuja kumlaumu Karia bila Sababu.
Acheni kujitoa akili bhana!Hata angekuwa Mayele hawezi kuisimamisha Africa.Utopolo wanataka mchezaji wa kigeni apewe promo kubwa hata kama amefunga magoli mawili kwenye mechi 40, lakini mchezaji wa ndani aliyefunga magoli 6 na assist 3 kwenye mechi 15 apuuzwe!
This is what they call mental slavery.
Ahmed kafanya kazi yake anayotakiwa kufanya ila ww shabiki za kuambiwa changanya na zako, Kuna usajiri gani utafanyika bongo usimamishe Africa? tukianza kupenda mpira kwanza utatuepushia mambo mengi SanaKabisa umeshupaza shingo hulioni kosa la Ahmed?
Tention kama ile umewaweka mashabiki ni level na surprise ya kumrudusha kama Konde Boy, au umepinduwa meza kwa Aziz Ki na siyo kwa mtu aliyetoka Mbeya na Super Feo.
Ndio sababu watu wa Simba wamekuwa disappointed na hasa ukichukulia upande wa pili watu wana furaha na mambo yanakwenda super
Umemsajiri Morrison ana takwimu gani? huyo kambole ana takwimu gani? je takwimu za makambo na kiyombo zipi nzuri?Nyie endeleeni kuchezea shilingi chooni, Kwa usajili mnao ufanya zipo Dalili za timu kushuka Daraja.
Sasa msitegemee Yanga awe anafanya kazi ya kuwabeba Ili msishuke Daraja kama Walivyo fanya 1989. Acheni siasa fanyeni usajili, msimu ujao ni mgumu kuliko huu ulio Isha.
Mtakuja kumlaumu Karia bila Sababu
1988Nyie endeleeni kuchezea shilingi chooni, Kwa usajili mnao ufanya zipo Dalili za timu kushuka Daraja.
Sasa msitegemee Yanga awe anafanya kazi ya kuwabeba Ili msishuke Daraja kama Walivyo fanya 1989. Acheni siasa fanyeni usajili, msimu ujao ni mgumu kuliko huu ulio Isha.
Mtakuja kumlaumu Karia bila Sababu.
Katika hao ulosikia nani ana simamisha Africa?Umemsajiri Morrison ana takwimu gani? huyo kambole ana takwimu gani? je takwimu za makambo na kiyombo zipi nzuri?
Amejaa utoto kuliko hilo zeruzeru lenu lililoacha kuisemea timu yake kutwa kucha kuisema Simba na ndiyo na nyie washabiki oya oyy amewaambukiza hiyo roho ya uzwazwa kutwa kucha kuichamba Simba.Hili ni kosa la msemaji wa Simba amejaa utoto sana.
Akili yako haina ujazo wa kutosha kuweza kuelewa mambo makubwa.Semaji anajichanganya mno huwa simuelewagi
Hawa unaowaita mashabiki oya oya,ndio wanaoipa club ya Simba nguvu.Amejaa utoto kuliko hilo zeruzeru lenu lililoacha kuisemea timu yake kutwa kucha kuisema Simba na ndiyo na nyie washabiki oya oyy amewaambukiza hiyo roho ya uzwazwa kutwa kucha kuichamba Simba.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Kwanza Yanga hakuibeba Simba, bali alifungwa na rekodi zitabaki hivyo. Pili, kipaji ni kipaji tu, huyu Kyombo amesajiliwa timu yake ikiwa tayari imepoteza points kibao. Kumbuka hata Samata alipoenda Simba, alitokea African Lyon ambayo haijawahi kuwa tishio hata siku moja zaidi ya kushuka madarajaSasa msitegemee Yanga awe anafanya kazi ya kuwabeba Ili msishuke Daraja kama Walivyo fanya 1989.