I Sympathize with Habib Kiombo Simba mmemkosea sana Habib Kiombo

I Sympathize with Habib Kiombo Simba mmemkosea sana Habib Kiombo

Utopolo wanataka mchezaji wa kigeni apewe promo kubwa hata kama amefunga magoli mawili kwenye mechi 40, lakini mchezaji wa ndani aliyefunga magoli 6 na assist 3 kwenye mechi 15 apuuzwe!

This is what they call mental slavery.
Nyie endeleeni kuchezea shilingi chooni, Kwa usajili mnao ufanya zipo Dalili za timu kushuka Daraja.
Sasa msitegemee Yanga awe anafanya kazi ya kuwabeba Ili msishuke Daraja kama Walivyo fanya 1989. Acheni siasa fanyeni usajili, msimu ujao ni mgumu kuliko huu ulio Isha.
Mtakuja kumlaumu Karia bila Sababu
 
Hayo ndio maisha atakayoyaishi ndani ya simba, hata kama angesajiliwa kimyakimya,la muhimu kwake ajitahidi awape matokeo mazuri hapo atakua mfalme.
kwa jinsi timu zote za ligi zilivyocheza na Simba msimu ulioisha kwa jihadi na kukamia pira gwaride siyaoni maajabu ya Kyombo wala Sakho!!Timu zote kasoro Simba tu zinampenda Injinia Hersi kwa kuonesha mfano jinsi kiongozi wa timu anavyotakiwa kuibeba timu na heshima zao kwake ni kuitandika Simba au wakipona wapate sare!!

Ninachojua mpasuko na ufa ulioko Simba msimu unaoanza jumba bovu litaanguka chini! wanasimba shikeni maneno yangu huko Yanga kumenoga mtakoma Kolo FC!!
 
Aliyewaita utopolo wala hakukosea.
Nyie endeleeni kuchezea shilingi chooni, Kwa usajili mnao ufanya zipo Dalili za timu kushuka Daraja.
Sasa msitegemee Yanga awe anafanya kazi ya kuwabeba Ili msishuke Daraja kama Walivyo fanya 1989. Acheni siasa fanyeni usajili, msimu ujao ni mgumu kuliko huu ulio Isha.
Mtakuja kumlaumu Karia bila Sababu
 
Hili ni kosa la msemaji wa Simba amejaa utoto sana.
Msemaji wa Simba ni zaidi ya mpuuzi.
Milikuwa namuona ana busara lakini nimeanza kuwastukia sasa karibu wote hapo Simba.
Wana mambo ya ajabu sana.Na nimeshawaambia wana Simba,haya masihara yataendelea hadi mwisho wa msimu.
 
Nyie endeleeni kuchezea shilingi chooni, Kwa usajili mnao ufanya zipo Dalili za timu kushuka Daraja.
Sasa msitegemee Yanga awe anafanya kazi ya kuwabeba Ili msishuke Daraja kama Walivyo fanya 1989. Acheni siasa fanyeni usajili, msimu ujao ni mgumu kuliko huu ulio Isha.
Mtakuja kumlaumu Karia bila Sababu.
Wewe kweli redio...

Kumbuka hata Simba akonde kupindukia hawezi kuwa mbuzi.
 
Utopolo wanataka mchezaji wa kigeni apewe promo kubwa hata kama amefunga magoli mawili kwenye mechi 40, lakini mchezaji wa ndani aliyefunga magoli 6 na assist 3 kwenye mechi 15 apuuzwe!

This is what they call mental slavery.
Acheni kujitoa akili bhana!Hata angekuwa Mayele hawezi kuisimamisha Africa.

Ni upuuzi mkubwa kutamba kwa ujinga halafu unaleta takwimu ambazo wachezaji wengi tu wanazo na bado hawawezi kusimamisha hata mkoa
 
Upo sahihi, kijana wa watu amekuwa demoralised sana. Mashabiki wa Simba na Yanga wanafahamika vizuri, negative response was expected. Hawa viongozi wawe wanatumia elimu zao walau kidogo. Kyombo ni mchezaji mzuri sana lakini anaweza asicheze vizuri kutokana na kupania kutaka kuwaprove wrong wanao mbeza ambao kwa bahati mbaya ni wengi.
 
Kabisa umeshupaza shingo hulioni kosa la Ahmed?

Tention kama ile umewaweka mashabiki ni level na surprise ya kumrudusha kama Konde Boy, au umepinduwa meza kwa Aziz Ki na siyo kwa mtu aliyetoka Mbeya na Super Feo.

Ndio sababu watu wa Simba wamekuwa disappointed na hasa ukichukulia upande wa pili watu wana furaha na mambo yanakwenda super
Ahmed kafanya kazi yake anayotakiwa kufanya ila ww shabiki za kuambiwa changanya na zako, Kuna usajiri gani utafanyika bongo usimamishe Africa? tukianza kupenda mpira kwanza utatuepushia mambo mengi Sana
 
Nyie endeleeni kuchezea shilingi chooni, Kwa usajili mnao ufanya zipo Dalili za timu kushuka Daraja.
Sasa msitegemee Yanga awe anafanya kazi ya kuwabeba Ili msishuke Daraja kama Walivyo fanya 1989. Acheni siasa fanyeni usajili, msimu ujao ni mgumu kuliko huu ulio Isha.
Mtakuja kumlaumu Karia bila Sababu
Umemsajiri Morrison ana takwimu gani? huyo kambole ana takwimu gani? je takwimu za makambo na kiyombo zipi nzuri?
 
Nyie endeleeni kuchezea shilingi chooni, Kwa usajili mnao ufanya zipo Dalili za timu kushuka Daraja.
Sasa msitegemee Yanga awe anafanya kazi ya kuwabeba Ili msishuke Daraja kama Walivyo fanya 1989. Acheni siasa fanyeni usajili, msimu ujao ni mgumu kuliko huu ulio Isha.
Mtakuja kumlaumu Karia bila Sababu.
1988
 
Inabidi tuwashinikize viongozi wetu wa simba watuambie Shilingi 85 alizosema Boss Mo aliziweka jwenye Akaunti gani.

Kuna benki hapa Tanzania inapokea Shilingi 85?
 
Hili ni kosa la msemaji wa Simba amejaa utoto sana.
Amejaa utoto kuliko hilo zeruzeru lenu lililoacha kuisemea timu yake kutwa kucha kuisema Simba na ndiyo na nyie washabiki oya oyy amewaambukiza hiyo roho ya uzwazwa kutwa kucha kuichamba Simba.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Hawa unaowaita mashabiki oya oya,ndio wanaoipa club ya Simba nguvu.
Sasa kinachoonekana ni utapeli wa viongozi na sisi hatutaki kutapeliwa.

Kumbuka kauli za viongozi kwanza;
Mo alisema Simba ikimtaka mchezaji yeyote inampata.

Mwenyekiti akayarudia maneno kama hayo mara kadhaa

CEO alisema Simba ni club kubwa haiwezi kukubali udhamini wa bilion 40 za Azam media.

Viongozi wamepata jeuri ya kuikataa billion 40 sio kwa vile wao wanahela kuliko hizo bali ni kwa sababu wanajua tupo sisi ambao ndio wateja wa bidhaa za azam.Azam alituona sisi .
 
Sasa msitegemee Yanga awe anafanya kazi ya kuwabeba Ili msishuke Daraja kama Walivyo fanya 1989.
Kwanza Yanga hakuibeba Simba, bali alifungwa na rekodi zitabaki hivyo. Pili, kipaji ni kipaji tu, huyu Kyombo amesajiliwa timu yake ikiwa tayari imepoteza points kibao. Kumbuka hata Samata alipoenda Simba, alitokea African Lyon ambayo haijawahi kuwa tishio hata siku moja zaidi ya kushuka madaraja
 
Back
Top Bottom