Mshuza2
JF-Expert Member
- Dec 27, 2010
- 11,261
- 17,202
Aliyewaita utopolo wala hakukosea.Utopolo wanataka mchezaji wa kigeni apewe promo kubwa hata kama amefunga magoli mawili kwenye mechi 40, lakini mchezaji wa ndani aliyefunga magoli 6 na assist 3 kwenye mechi 15 apuuzwe!
This is what they call mental slavery.