Ambivert88
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 3,609
- 6,388
Tumain la kesho ndio kitu gani Wewe unajua kesho utakua Wapi Muda km huu?Unadhani ulichoandika ni sifa mkuu? Kila mtu yupo duniani kwa sababu maalumu, msaidie mwenzako sio lazima kumpa pesa, mpe tumaini la kesho.
sasa mbona umecheka koment yangu halafu unasema "umesema kwel mkuu"Umesema ukweli mkuu!
Mkuu. Kufunguka hivi ni tiba tosha kuliko angekaa na jambo moyoni. Bottom line ni kuwa hayuko peke yake mwenye changamoto kwenye maisha ingawa hajaweka wazi aina ya changamoto anayopitiamkuu elewa tu kuwa haupo peke yako anayepitia magumu hapa dunian, endapo kila mmoja angefunguka ya kwake hapa, nadhani ungejiona una afadhali mara 20,
komaa mkuu haya maisha yana mengi.
ephen_
Sikuchori Boss! Leo jumapili usinunesasa mbona umecheka koment yangu halafu unasema "umesema kwel mkuu"
unanichora au?
sijapenda kabisa.
ToooobaaaaaaTumain la kesho ndio kitu gani Wewe unajua kesho utakua Wapi Muda km huu?
Una mangapi yamekua mzigo mzito kwako na umeshindwa kuyatimiza una watoto wa Dada yako kule wanakuita anko wanashinda kwenda Shule sababu ya kukosa karo ya Shule wengine wamesimamishwa Chuo hujawahi kuchangia hata 100 Ila hapa unajitutumua kujifanya una roho nzuri sana
We Jamaa pole sana ila maelezo Yako yanachekesha,utapona Muuombe Mungu wako but elewa kwamba destruction ni lazima Ili maisha yaendeleeWadau wote wa jamii forum naandika uzi huu nikiwa na wazo moja tu la kupotea ktk dunia hii yenu
Napitia magumu mno nimekosa msaada hata wa mtu kuongea naye nikamwelezea matatizo yangu nimekuwa mpweke zaidi tu wanangu ambao hata hawajielewa ndio walikuwa faraja yangu ila ilipofikia nimezidiwa.
Wana JF endeleeni kutoa ishauri ndani ya hili jukwaa kiukweli backgroubd watu tunateseka sana.
Mungu awabariki sana
sawa mkuuMkuu. Kufunguka hivi ni tiba tosha kuliko angekaa na jambo moyoni. Bottom line ni kuwa hayuko peke yake mwenye changamoto kwenye maisha ingawa hajaweka wazi aina ya changamoto anayopitia
Happy birthday kpnz changu,,,nakutakia umri mrefu wenye baraka na maisha marefuWatu tunasherehekea birthday leo wengine leo wanataka iwe death day😫😫oooh pole sana
Asanteeeee bey wetu coz kuna mtu kacheka kwenye comment yako hapo nahis tupo wote🤣Happy birthday kpnz changu,,,nakutakia umri mrefu wenye baraka na maisha marefu
Love u always
Bey
Hahah kumbe nawe umemuona 🤣🤣Asanteeeee bey wetu coz kuna mtu kacheka kwenye comment yako hapo nahis tupo wote🤣
Nmemuona kabisa 😂Hahah kumbe nawe umemuona 🤣🤣
Hata kama nimeshindwa kutimiza lakini nina amani, furaha na natumaini huyu jamaa atapata amani ya moyo wake.Tumain la kesho ndio kitu gani Wewe unajua kesho utakua Wapi Muda km huu?
Una mangapi yamekua mzigo mzito kwako na umeshindwa kuyatimiza una watoto wa Dada yako kule wanakuita anko wanashinda kwenda Shule sababu ya kukosa karo ya Shule wengine wamesimamishwa Chuo hujawahi kuchangia hata 100 Ila hapa unajitutumua kujifanya una roho nzuri sana
Haya Nenda ww bc mana unaona mm ntafaidiUjinga ni kuamini ukifa utaenda Mbinguni au Jehanamu.
Wewe ni mavumbi, na mavumbini utarudi. Mbinguni hayendi mavumbi.
Kila mtoto anapozaliwa ni lazima alie,maana yake "amekuja kupambana na magumu ya maisha"Wadau wote wa jamii forum naandika uzi huu nikiwa na wazo moja tu la kupotea ktk dunia hii yenu
Napitia magumu mno nimekosa msaada hata wa mtu kuongea naye nikamwelezea matatizo yangu nimekuwa mpweke zaidi tu wanangu ambao hata hawajielewa ndio walikuwa faraja yangu ila ilipofikia nimezidiwa.
Wana JF endeleeni kutoa ishauri ndani ya hili jukwaa kiukweli backgroubd watu tunateseka sana.
Mungu awabariki sana
Acha kukurupuka kujibu na akili yako ndogo,wapi nimemzuia asjiue,yeye ametaka tumpe ushauri kabla hajafanya maamuzi...Kwani yeye akifa wewe unapata hasara gani?