I think its my time to rest, I am nothing in this world

Sasa mavumbini c ndo kufa au ww Umeelewa nn
 
Hata huko utakapokwenda baada ya kufa pia nako pagumu, yn kote duniani, mbinguni na jehanamu pamekaba
Naweka Namba kumbu katega chambo alafu kuna pumbujero zitamchangia JF wajinga hawaishi

Sehemu 3 unazotakiwa kuwahi ukiona mambo yamekaba

1. Kituo cha Polisi unawaomba wakubambike hata kesi ya uzururaji ukale Ugali wa bure Jela

2. Kanisani hapa unawahi kwa Shemasi au Ofisi ya Mchungaji achana na Hawa wanaopokea watu kwa viingilio nenda makanisa ambayo hawapokei watu kwa viingilio nenda kampige story na father mfungukie father nahisi kujiua nipe Ramani nimekwama

3. Msikitini wahi pale Waumini kabla ya Ibada kutana na Imamu au Shekhe wa Msikiti mwelezeee baada ya Swala atawatangazia Waislamu wakuchangie utachangiwa

Sasa hatua zote hizo ameshindwa unakwama Wapi? Hapo sijakwambia uende kwa Mwenyekiti wa Kijiji na Mtendaji wa Kijiji wanakuaga na michongo wale usiwadharau watembelee hata majumbani kwao kawaelezee umekwama Wapi
 
Ndugu kuna watu wapo kwenye wakati mgumu kiasi cha kutoelezeka lakini wanaendelea kupambana na kutumaini wakati mmoja watavuka.

Wako wewe hata umepata nafasi ya kuchapisha andiko hili kwenye mtandao huu unafikia kusema hayo!
Jitafakari upya.
 
Kuna mijitu ni mashetani.

Kwenye andiko lenye hisia za uchungu na maumivu makali, ephen_ yeye ka-react anacheka kabisa.

Punguani Waheed.
Kwahiyo Dr. Mpaka ukaenda kutazama walio-like na ku-react hiyo mada hapo... Kwenye list ulipomuona mnyonge wako ephen_ huyohuyo ukaruka nae?! πŸ˜‚

Dahh! Dr. We mbea! Au unamtaka?! πŸ˜€
 
Tatizo kubwa ni sisi wanaume kuendelea kuishi na mitazamo ya mfumo dume kwenye ulimwengu huu wa leo.

Wanaume wengi wa miaka 40+ wanateseka sana sababu ya huu ujinga.

Tukubali mabadiliko ya kimfumo wakuu.
Mfumo Dume upi na mfumo umeingiaje kwenye matatizo ya mleta Mada inamaana na Wanawake wenye matatizo ya kuziba kwa mirija ya uzazi tatizo ni mfumo jike?
 
Ndugu kuna watu wapo kwenye wakati mgumu kiasi cha kutoelezeka lakini wanaendelea kupambana na kutumaini wakati mmoja watavuka.

Wako wewe hata umepata nafasi ya kuchapisha andiko hili kwenye mtandao huu unafikia kusema hayo!
Jitafakari upya.
Yaan ana simu janja na ana bando huyo mbwa, anamkufuru maanani... Dawa yake tumlambe viboko tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…