Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asipojibu hili swali lako atakuwa hana maana ya kuuleta huu uzi hapa.Sa mwanangu ujasema tatizo nini? Hapo ili tutoe ushauri ambao sisi pia tumekuwa tukijishauri
Halafu hao watoto unawaachia nani?? Kama wewe mzazi huna huruma na watoto wako, unategemea dunia itawaonea huruma?? Au ulimaanisha washikaji??
Anza kuwaua watoto kwanza, kisha ufuate mwenyewe.Usiache wakateseka bure.
Unasumbuliwa na :
woga
hali ya kuwa na hofu ya kufikwa na jambo la kutisha au la taabu; hali ya kutoweza kustahimili vitisho
Ambayo hupelekea :
hofu
shindwa kukabili jambo linalohitaji vikumbo; kuwa na woga
Mwisho unatakiwa uwe:
jasiri
piga moyo konde; kuwa hodari; kuwa shujaa
madam umemaliza kila kitu ashukuriwe aliyeleta uzao wako kwani naamini ameleta maarifa chanya duniani,ubarikiwe!Mkuu hizo sio akili zako.
Depression ndo inakuletea hayo mawazo,inakudanganya uone kila kitu ni kibaya ila sio kweli mana una vitoto vyako vizuri.Hao ni sbb tosha ya wewe kutamani kuendekea kuishi.
Sasa wewe baba yao jembe lao,mwalimu wao,kipenzi chao,mlinzi wao na tena shujaa wao ukifa nani atakava hizo nafasi?
Nikwambie kitu!Haijalishi leo unapitia wewe na wanao ambao ndio faraja yako mna maisha ya shida kiasi gani ila zrust me hivyo vijamaa kuna siku vita graduate,,vitaoa,vitanunua gari zao za kwanza,vitagombana na kuapizana undugu ufe,vitapata changamoto kama unqzopitia.
je hutamani kuwepo katika hayo yote?Nani asimame nao kama sio wewe?
Mkuu mimi ni mwanamke ila ije jua ije mvua hqjiui mtu hapa sasa iweje wewe wa kiume ujiue?
Kama shida wote tunazo ila tunapambana hivyo hivyo.
Wewe sio dhaifu kiasi hicho mkuu usijiue.🙏🙏🙏🙏😍😍😍
Kuna nyakati kama huwezi ku act kama mtu mzima bora ukae kimya mkuu🙏Chai
Mkuu ushawai kushika 70m 🤔, au hapa unatumia psychology tactics kumfanyia canceling jamaaNilivo ibiwa 70m nili dhani maisha yangu ndo mwisho kumbe, ndo naanza maisha upya.......kila chagamoto moja kufungua fursa mpya muhimu ni afya na uhuru
Weee acha kutudanganya. Umewahi kufika Mbinguni au Jehanamu ukajua kama kumekaba?Hata huko utakapokwenda baada ya kufa pia nako pagumu, yn kote duniani, mbinguni na jehanamu pamekaba
Mmh!! Mkuu acha tu humu kuna kila aina ya watu namaisha yao tu, huyu anataka kujiua kwa tatizo huenda ni pesa ya kujikimu na famila kama 100k tu.Mkuu ushawai kushika 70m [emoji848], au hapa unatumia psychology tactics kumfanyia canceling jamaa