Nyamayao
JF-Expert Member
- Jan 22, 2009
- 6,966
- 2,380
yaani huu mji kwasasa hata uelewi uende wapi, labda kwenye nyama choma/mchemsho, nilikuwa napenda sana kwenda live band ya first left yule kapteni nae kashindwana na wale vijana wakaondoka, niliwaona kama wawili pale NAROK, but pale hakujachangamka kama walivyokuwa wanalitwanga first left, NAROK napo wauza mawe kibao, ukiingia psiii psiii nyingi, khaa.