I truly miss saba saba hotel......unakumbuka lile disco pale???

I truly miss saba saba hotel......unakumbuka lile disco pale???

Tatizo watu wa hapa kwetu chuga wanapenda sana kukimbilia sehemu mpya....unakumbuka triple A ilipofunguliwa???wat about mawingu? And velocity? ??just one year hiyo disco litachoka totally.

mboba hiyo naiona bado inabamba? nilikuwa pale last week sema vident vimeshafunga basi pako vululu vululu.
 
yaani pale nime enjoy sana miaka ya 20003-2004 mamb ya bakulutu, asee palikuwa na watoto bomba mbayaaaa
 
yaani pale nime enjoy sana miaka ya 20003-2004 mamb ya bakulutu, asee palikuwa na watoto bomba mbayaaaa[/QU
kuna yule bouncer alikuwa pale langoni anaitwa james!nimemuona yupo babylon now days!unaikumbuka ile bar ya nje...?tulikuwa tunaanziaga hapo!then kwenye saa tano tupo ndani mpaka saa kumi na moja hivi ndio tuna hamia family club au galaxy mpaka saa mbili mbili hivi...ilikuwa shida kaka!
 
kuna yule bouncer alikuwa pale langoni anaitwa james!nimemuona yupo babylon now days!unaikumbuka ile bar ya nje...?tulikuwa tunaanziaga hapo!then kwenye saa tano tupo ndani mpaka saa kumi na moja hivi ndio tuna hamia family club au galaxy mpaka saa mbili mbili hivi...ilikuwa shida kaka![/QUOTE]

ndio yule pia alikuwaga mawingu? hii mawingu hapo uani garage, yaani palikuwa pachafu jamani jamani, ndani/nje pachafuu, nilikuwa naendaga tu basi nifanyaje.
 

Attachments

  • World Garden 1.jpg
    World Garden 1.jpg
    107.9 KB · Views: 24
  • world Garden 2.jpg
    world Garden 2.jpg
    135.3 KB · Views: 25
  • world garden 3.jpg
    world garden 3.jpg
    122 KB · Views: 27
  • world garden 4.jpg
    world garden 4.jpg
    120.7 KB · Views: 22
  • world garden 5.jpg
    world garden 5.jpg
    143.4 KB · Views: 28
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom