Umeona eeeh hivi ni wapi tena mtu unaweza pata bakurutu kama la pale Filipo
Twende kwa CHIMBENDE Lily Flower! Mji wenyewe haueleweki, Tutampeleka wapi Madame B?
yaani huu mji kwasasa hata uelewi uende wapi, labda kwenye nyama choma/mchemsho, nilikuwa napenda sana kwenda live band ya first left yule kapteni nae kashindwana na wale vijana wakaondoka, niliwaona kama wawili pale NAROK, but pale hakujachangamka kama walivyokuwa wanalitwanga first left, NAROK napo wauza mawe kibao, ukiingia psiii psiii nyingi, khaa.
Twende kwa CHIMBENDE Lily Flower! Mji wenyewe haueleweki, Tutampeleka wapi Madame B?
Kweli kwa hatufahamiani mie pale first left ndio palikuwa sebuleni kwangu kwa sasa nimehamia BOT wanalive bend nzuri sana ila wao wanapiga kila Ijumaa jongea siku moja Dada Nyamayao tule vya zamani si unajua old is gold. Ila kwa nyepesi nyepesi nilizo nazo nasikia wale vijana wamerudi pale first left.
bot pana bamba kinoma usalama wakutosha tukutane hapo kesho
nilikuwa nahudhuria pia, sema panakera wake/wachumba za mapolisi sijui ndio inakuwa wamepewa ruhusa na machirimen/charanga zao ruvugu tupu, sijui kama pamebadilika, then kuna siku kapolisi kalininga'ang'ania pale kamelewa njwiiii, kalinisumbua nikasema leo mwisho wa kuja hapa, Yahaya C.I.D ndio aliokoa jahazi, kuanzia hapo nikakata mguu, mie nikienda sehemu za starehe sitaki kusumbuliwa kabisa aise mana nimeenda pale kustarehe otherwise ningelala home kwangu, mahali ambapo sisumbuliwagi ni first left, pale sun down kwa chimbende napo pako pako tu.
Poa mkuu utanipa ishara gani sasa.[/QU
Freemason sign...... napenda sana kuwa counter
Twende kwa CHIMBENDE Lily Flower! Mji wenyewe haueleweki, Tutampeleka wapi Madame B?
bora hata mngempeleka via via akaruke na wazungu huko, lol
Nyamayao kuna limjengo fulani liko pale karibu na mwisho wa lami Moshono, kama lina mabawa mabawa vile... Mara ya kwanza nilijua ni kanisa... Bado limezungushiwa mabati kwa nje, ila ndani usiombe....jamani,huu ukumbi unafunguliwa pande zipi za pale? naona siku hizi starehe zimeamia moshono, nilikuwa napapenda sana 2i wale masai pale jikoni wakanikeraga, sasa hivi mara nyingi nakuwaga pale forest pub, QX nayo ilinikera na wawindaji, SUYE pale karibia na garage ilikuwa kituo changu kila jpili coz ya mbege, walikuwa wana mbege fresh sana,yule kiazi nae kuendekeza ngono mpaka akashindwa kuiendesha.
Nyamayao kuna limjengo fulani liko pale karibu na mwisho wa lami Moshono, kama lina mabawa mabawa vile... Mara ya kwanza nilijua ni kanisa... Bado limezungushiwa mabati kwa nje, ila ndani usiombe....
Ni investment ya ukweli......
Kuna ukumbi wa disco (underground),
ukumbi wa disco for members (VIP's),
Mashine za ATM's kibao(hapa watatuchuna balaa),
Kuna ukumbi kwa ajili ya masherehe, kuna bonge la garden kwa ajili ya sherehe kama harusi, Play ground kwa ajili ya watoto, Parking ya kumwaga .........nk......
Tatizo watu wa hapa kwetu chuga wanapenda sana kukimbilia sehemu mpya....unakumbuka triple A ilipofunguliwa???wat about mawingu? And velocity? ??just one year hiyo disco litachoka totally.Nyamayao kuna limjengo fulani liko pale karibu na mwisho wa lami Moshono, kama lina mabawa mabawa vile... Mara ya kwanza nilijua ni kanisa... Bado limezungushiwa mabati kwa nje, ila ndani usiombe....
Ni investment ya ukweli......
Kuna ukumbi wa disco (underground),
ukumbi wa disco for members (VIP's),
Mashine za ATM's kibao(hapa watatuchuna balaa),
Kuna ukumbi kwa ajili ya masherehe, kuna bonge la garden kwa ajili ya sherehe kama harusi, Play ground kwa ajili ya watoto, Parking ya kumwaga .........nk......
sijawahi kuliona may be coz ya hayo mabati, ndio linafunguliwa xmas?