dadake wa hiari.
Tumkaribishe mwaka mpya mpz?
Karibu nyumbani shem!
Tatizo watu wa hapa kwetu chuga wanapenda sana kukimbilia sehemu mpya....unakumbuka triple A ilipofunguliwa???wat about mawingu? And velocity? ??just one year hiyo disco litachoka totally.
yaani pale nime enjoy sana miaka ya 20003-2004 mamb ya bakulutu, asee palikuwa na watoto bomba mbayaaaa[/QU
kuna yule bouncer alikuwa pale langoni anaitwa james!nimemuona yupo babylon now days!unaikumbuka ile bar ya nje...?tulikuwa tunaanziaga hapo!then kwenye saa tano tupo ndani mpaka saa kumi na moja hivi ndio tuna hamia family club au galaxy mpaka saa mbili mbili hivi...ilikuwa shida kaka!
Poa mkuu utanipa ishara gani sasa.[/QU
Freemason sign...... napenda sana kuwa counter
Hapo kwenye red umenitisha naweza hata nisije bhana khaaaa!
Wala usiogope bana we njoo tubanjuke zetuHapo kwenye red umenitisha naweza hata nisije bhana khaaaa!
Wala usiogope bana we njoo tubanjuke zetuHapo kwenye red umenitisha naweza hata
nisije bhana khaaaa!
sijawahi kuliona may be coz ya hayo mabati, ndio linafunguliwa xmas?