Watu kama wewe nawapenda sana, njoo pm chaao tupige story najua una stress za kuzidiii!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shida yake haku punctuate, baas.Nilifikiri mimi na mleta mada pekee ndiyo tunakielewa hiki kiingereza cha kijamaika (Jamaican English).
Inabidi uwasikilize Bob, Peter Tosh, Gyptian, Sean Paul ndipo utakielewa hiki kizungu cha mleta mada.
Au uwasikilize na kuwasoma Negro wa zamani kuanzia miaka ya 1950 kushuka chini.
Sema ni vizuri angetanguliza neno Me yaani "Me want a very intelligent female.."
Nimekipenda hiki 'kidhungu' chako.Shida yake haku punctuate, baas.
"I want me a female, very intelligent friend."
But many don't get it!
Sent using Jamii Forums mobile app
😁😁😁
Ndukiiii🙌Hizi English nyingine tukiziendekeza zitakuja zituletee corona
Jizazi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yesu ni wako Saint Anne japo mlevi, lakini kila shetani na mbuyu wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kingereza cha kwenye vilabu vya kangara!