I want to die a judge

TITLE YA KITOTO SIWEZI SOMA UPUUZI
 
TITLE YA KITOTO SIWEZI SOMA UPUUZI
Usijali ndugu, TITLE inaweza kuonekana ya kitoto kwa sababu haujui dhamira ya kuiita hivyo ni nini, kwenye literature huwa tunaambiwa elezea jinsi TITLE yako inavyohusiana/endana na kilicho andikwa ndani, nadhani ni ngumu sana kuielewa title kama tu mindset yako ishaamua kuselect hivyo kabla hata hujasoma kilichopo, by the way shukrani sana kwa maoni ndugu[emoji122][emoji122][emoji122]

Sent from my TA-1053 using JamiiForums mobile app
 
Kwenye literature title means a lot since inaweza mfanya mtu atake au asitake kusoma hadith. So hapo ndo unapaswa utulize kichwa. Wewe umachagua title ambayo mimi kama mchambuzi naona imemaliza kila kitu.

But pia haina ubunifu ni kama unaandika makala ya ndoto ya mtoto flani. Ndo maana nikasema ya Kitoto sana. Sijaweza soma hata hadithi sababu ya kuona title utadhani ya makala ya mtoto siku ya shule darasa la 4-7.
 
Unaweza ukanipa sifa hata tatu za title nzuri mkuu na why title huwa zinatungwa?

Sent from my TA-1053 using JamiiForums mobile app
 
Unaweza ukanipa sifa hata tatu za title nzuri mkuu na why title huwa zinatungwa?

Sent from my TA-1053 using JamiiForums mobile app
1. Title isimalize hadithi husika
2. Title iweze mfanya msomaji kutaka kujua nini kitakuwa ndani
3. Isiwe conclusive ( asiye sikia la mkuu huvunjika mguu)

Fikiria kama title hii

1. Sifi Mara Mbili
2. Chumba namba 215
3. Hakimu wa Mwisho
4. .....
 
1. Title isimalize hadithi husika
2. Title iweze mfanya msomaji kutaka kujua nini kitakuwa ndani
3. Isiwe conclusive ( asiye sikia la mkuu huvunjika mguu)

Fikiria kama title hii

1. Sifi Mara Mbili
2. Chumba namba 215
3. Hakimu wa Mwisho
4. .....
Ok, shida ya hiyo tittle ni ipi? then nikuletee list ya vitabu vya waandishi wakubwa duniani unitajie title zao zinafit vipi kwenye hizo sifa zako

Sent from my TA-1053 using JamiiForums mobile app
 
1. Title isimalize hadithi husika
2. Title iweze mfanya msomaji kutaka kujua nini kitakuwa ndani
3. Isiwe conclusive ( asiye sikia la mkuu huvunjika mguu)

Fikiria kama title hii

1. Sifi Mara Mbili
2. Chumba namba 215
3. Hakimu wa Mwisho
4. .....
From what i know hizi ndizo sifa ambazo title inatakiwa kuwa nazo; descriptive, direct, accurate, appropriate, interesting, concise, precise, unique, and should not be misleading

Kwa mfano The Beautyful Ones Are Not Yet Born....rejea kwenye sifa yako ya tatu then itumie kuchambua hii title

It's true title inatakiwa kuwa clear, ya kuvutia, kuleta hamu ya msomaji kuisoma, kitu cha mhimu zaidi unatakiwa kujua why imetumika title kama hiyo lengo au dhamira kuu ni nini?


I WANT TO DIE JUDGE....ukinambia ipo conclusive nitakukatalia....unless uwe na uwezo wa kuchambua kitu ambacho kimeandikwa humo kwa kutumia hiyo title bila kusoma kilichopo, nadhani huwa ni vizuri sana kitu ukijue ndo ujudge....

Sanaa ni pana sanae, sana sometime inatumika ironically huwezi kuielewa bila kuipitia, mpaka sasa haujui why nimetumia title kama hiyo, rejea kwenye hadithi zangu kama ULIMWENGU WA WATU WABAYA, GEREZA LA HAZWA, INNOCENT KILLER hizo title nazitengeneza kulingana na lengo la mimi kuziandika na zinakuwa zinabeba kilichopo ndani iwe ni ironically au ya kudirect kitu kama kilivyo.

I WILL MARRY WHEN I WANT hii nayo tittle utaniambia ya hovyo kwa sababu ipo conclusive?


Sent from my TA-1053 using JamiiForums mobile app
 
Hiki kipande ni kirefu mno kitausindikiza usiku wako

Enjoy

Bux the story teller

Sent from my TA-1053 using JamiiForums mobile app
 
Bahati mbaya sijazisoma zote hizo. Ila title ambayo ningeipenda ni
1. Gereza la Hazwa
2. Ulimwengu wa watu wabaya

I will marrry when i want ni ironical au sarcastic.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…