I wish you Hon Halima Mdee A very Happy Birthday indeed

I wish you Hon Halima Mdee A very Happy Birthday indeed

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Instagram media - B93t5jVgfq_ ( 697 X 640 ).jpg


Pamoja na ugeni wa Corona nchini Tanzania, lakini hatutaweza kuacha kuwakumbuka na kuwatakia heri ya maisha yao Mashujaa wachache wa Taifa hili, Akiwemo Mh Halima Mdee, ambaye uwepo wake nchini Tanzania ni Makusudi maalum ya Mwenyezi Mungu.

Kwa sababu ya uthubutu wake wa kuwatetea wengine na kuwakomboa akina mama wa Tanzania ambao kwa kipindi kirefu walionekana kama mashine ya kufyatulia watoto.

Kama ilivyo mashine ya kufyatulia matofali , leo anasherehekea siku yake ya kuzaliwa akiwa hospitali baada ya kuvunjwa mkono kutokana na kutetea wengine.

Nakuomba Mwenyezi Mungu umpe Maisha marefu dada huyu, Amina.
 
Back
Top Bottom