roselina john
JF-Expert Member
- Aug 17, 2017
- 758
- 945
Nimekumbuka uliposema unapenda KUTO OMBWAKama wewe ni meneja masoko au meneja mauzo wa mlimani city, basi umewin hiyo siku wateja wa JF watajaa kila mahali hapo mlimani city.
Kila la heri na mkutano wako / mtoko / kikao.
Kila mtu atataka kuwaona hao watajwa hapo juu.
Ngoja nipitie comments na posts zangu kama zimeanza kuwa na ukakasi...
Nimekumbuka uliposema unapenda KUTO OMBWA
Mkuu naona umeanza kujikagua makosa [emoji1] ,nenda ukaonane na mtoto mzuriNgoja nipitie comments na posts zangu kama zimeanza kuwa na ukakasi...
Najaribu kupitia sifa za waliotajwa. Kuna vichwa napata hofu kutajwa nao kundi moja...🙂😱Kama wewe ni meneja masoko au meneja mauzo wa mlimani city, basi umewin hiyo siku wateja wa JF watajaa kila mahali hapo mlimani city.
Kila la heri na mkutano wako / mtoko / kikao.
Kila mtu atataka kuwaona hao watajwa hapo juu.
Napenda kweli asali ila najua nyuki wanaweza kukuua.Mkuu naona umeanza kujikagua makosa [emoji1] ,nenda ukaonane na mtoto mzuri
Umenisisimua...Napenda haswaa.... Ile kitu tamu bwana asikwambie mtu daah