Wewe unataka arudisheje wakati mjane wa Raisi bado yuko kwenye eda..๐ฒ๐ฒkacharazwa bakora akanyamaza kama mtoto, aliambiwa na Iran ukisubutu kurudisha kichapo, ujuwe kichapo kitakuwa ni kikubwa zaidi ya hicho mara 10 au zaidi akanyamaza kimyaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unataka arudisheje wakati mjane wa Raisi bado yuko kwenye eda..๐ฒ๐ฒkacharazwa bakora akanyamaza kama mtoto, aliambiwa na Iran ukisubutu kurudisha kichapo, ujuwe kichapo kitakuwa ni kikubwa zaidi ya hicho mara 10 au zaidi akanyamaza kimyaa
Cha ajabu raisi atapanda ndege iliyotengezwa na Marekani 1978 kwenda kuzindua๐๐๐๐Hii ndio habari iliyoletolwa leo na Shirika la atomic duniani AIEA.
Nuclear ndio silaha ya maangamizi bora kuliko silaha zote zilizowahi kutokea duniani mpaka sasa.
Kwa minajili hiyo kwa sasa eneo la mashariki ya kati kutakua na nchi 2 (japo moja ni nchi fake) zenye silaha za maangamizi za Nuclear.
---
Iran's near-bomb-grade uranium stock grows
International Atomic Energy Agency (IAEA) chief Rafael Grossi travelled to Iran this month for talks with Iranian officials aimed at improving cooperation and IAEA monitoring in Iran. Follow-up talks have stalled, however, after the death of Iranian President Ebrahim Raisi in a helicopter crash last week.
Vienna: Iran is enriching uranium to close to weapons-grade at a steady pace while discussions aimed at improving its cooperation with the UN nuclear watchdog are stalled, two confidential reports by the watchdog showed on Monday.
The International Atomic Energy Agency (IAEA)faces a range of difficulties in Iran, including the fact it only implemented a small fraction of the steps IAEA chief Rafael Grossi thought it committed to in a 'Joint Statement' on cooperation last year.
"There has been no progress in the past year towards implementing the Joint Statement of 4 March 2023," one of the two reports to member states, both of which were seen by Reuters, said.
Grossi travelled to Iran this month for talks with Iranian officials aimed at improving cooperation and IAEA monitoring in Iran. Follow-up talks have stalled, however, after the death of Iranian President Ebrahim Raisi in a helicopter crash last week.
"The Director General reiterates to the new government of Iran his call for, and disposition to continue with, the high-level dialogue and ensuing technical exchanges commenced ... on 6-7 May 2024," the report added.
It is 18 months since the IAEA's 35-nation Board of Governors last passed a resolution against Iran, ordering it to cooperate urgently with a years-long IAEA investigation into uranium particles found at three undeclared sites.
While the number of sites has since been reduced to two, Iran has still not explained how the traces got there.
"The Director General regrets that the outstanding safeguards issues have not been resolved," the report said, referring to those traces.
France and Britain are pushing for a new resolution at next week's Board meeting, which the United States has so far not supported, diplomats say. Iran usually bristles at such resolutions, taking nuclear-related steps in response.
The other report said Iran's stock of uranium enriched to up to 60% purity, close to the roughly 90% of weapons-grade, grew by 20.6 kg over the quarter to 142.1 kg as of May 11, and Iran later diluted 5.9 kg to a lower enrichment level.
That means Iran now has roughly enough material enriched to up to 60% purity, if enriched further, for three nuclear weapons in theory, according to an IAEA yardstick. It has enough for more at lower enrichment levels.
Western powers say there is no credible civil reason for Iran to enrich to that level. Iran says its aims are peaceful.
IAEA
Leteni dalili wapi Israel kagusa hio Helicopter kelele za kanisani kama kengele zake ๐Wewe unataka arudisheje wakati mjane wa Raisi bado yuko kwenye eda..๐ฒ๐ฒ
Hata akienda kuzindua akiwa kapanda punda bado litabaki kuwa bomu la nuclear.Cha ajabu raisi atapanda ndege iliyotengezwa na Marekani 1978 kwenda kuzindua๐๐๐๐
Netanyahu hajawahi kunyamaza hata siku moja!kacharazwa bakora akanyamaza kama mtoto, aliambiwa na Iran ukisubutu kurudisha kichapo, ujuwe kichapo kitakuwa ni kikubwa zaidi ya hicho mara 10 au zaidi akanyamaza kimyaa
Kwa hiyo na pilot aliamua kujiangamiza mwenyewe mbona mnajitoa sana ufaham has walokole wa tzNetanyahu hajawahi kunyamaza hata siku moja!
MOSAID iko kwenye systems zote za Iran! Hata pilot wa helkopta iliyombeba Rais wa Iran ambaye ni marehemu inaaminika alikuwa MOSAID agent!
Kipi cha ajabu? Vipi magaidi au mujahedina wanapojitoa muhanga kwa kulipua na kujilipua kwa mabomu wao hawajitakii maisha?Kwa hiyo na pilot aliamua kujiangamiza mwenyewe mbona mnajitoa sana ufaham has walokole wa tz
Kwa akili za waarabu watafanya hivyo maana vitu vya kijinga ndiyo wao wanafanya.Hata akienda kuzindua akiwa kapanda punda bado litabaki kuwa bomu la nuclear.
Mikwara ya Warabu bwanaKila la kheri Iran.
Nyie wenye akili za kizungu huwa mnafanyaje?Kwa akili za waarabu watafanya hivyo maana vitu vya kijinga ndiyo wao wanafanya.
Wote wanaotaka kuifuta Israel kwenye ramani ya dunia ndio wanafutika wenyewe.Leteni dalili wapi Israel kagusa hio Helicopter kelele za kanisani kama kengele zake ๐
Ni ajabu mashoga hawajawahi kuwa na huo ujasiri usijitoe akili...Kipi cha ajabu? Vipi magaidi au mujahedina wanapojitoa muhanga kwa kulipua na kujilipua kwa mabomu wao hawajitakii maisha?
Sept.11 magaidi walipolipua yale majengo ya Trade center US kwa kutumia ndege za kiraia wakafia humo hawakujipenda?
Nyuklia sio matako, kusema kila Mtu awe nayo. Iran hawawezi kutengeneza Helkopta waje watengeneze nyuklia.Hii ndio habari iliyoletolwa leo na Shirika la atomic duniani AIEA.
Nuclear ndio silaha ya maangamizi bora kuliko silaha zote zilizowahi kutokea duniani mpaka sasa.
Kwa minajili hiyo kwa sasa eneo la mashariki ya kati kutakua na nchi 2 (japo moja ni nchi fake) zenye silaha za maangamizi za Nuclear.
---
Iran's near-bomb-grade uranium stock grows
International Atomic Energy Agency (IAEA) chief Rafael Grossi travelled to Iran this month for talks with Iranian officials aimed at improving cooperation and IAEA monitoring in Iran. Follow-up talks have stalled, however, after the death of Iranian President Ebrahim Raisi in a helicopter crash last week.
Vienna: Iran is enriching uranium to close to weapons-grade at a steady pace while discussions aimed at improving its cooperation with the UN nuclear watchdog are stalled, two confidential reports by the watchdog showed on Monday.
The International Atomic Energy Agency (IAEA)faces a range of difficulties in Iran, including the fact it only implemented a small fraction of the steps IAEA chief Rafael Grossi thought it committed to in a 'Joint Statement' on cooperation last year.
"There has been no progress in the past year towards implementing the Joint Statement of 4 March 2023," one of the two reports to member states, both of which were seen by Reuters, said.
Grossi travelled to Iran this month for talks with Iranian officials aimed at improving cooperation and IAEA monitoring in Iran. Follow-up talks have stalled, however, after the death of Iranian President Ebrahim Raisi in a helicopter crash last week.
"The Director General reiterates to the new government of Iran his call for, and disposition to continue with, the high-level dialogue and ensuing technical exchanges commenced ... on 6-7 May 2024," the report added.
It is 18 months since the IAEA's 35-nation Board of Governors last passed a resolution against Iran, ordering it to cooperate urgently with a years-long IAEA investigation into uranium particles found at three undeclared sites.
While the number of sites has since been reduced to two, Iran has still not explained how the traces got there.
"The Director General regrets that the outstanding safeguards issues have not been resolved," the report said, referring to those traces.
France and Britain are pushing for a new resolution at next week's Board meeting, which the United States has so far not supported, diplomats say. Iran usually bristles at such resolutions, taking nuclear-related steps in response.
The other report said Iran's stock of uranium enriched to up to 60% purity, close to the roughly 90% of weapons-grade, grew by 20.6 kg over the quarter to 142.1 kg as of May 11, and Iran later diluted 5.9 kg to a lower enrichment level.
That means Iran now has roughly enough material enriched to up to 60% purity, if enriched further, for three nuclear weapons in theory, according to an IAEA yardstick. It has enough for more at lower enrichment levels.
Western powers say there is no credible civil reason for Iran to enrich to that level. Iran says its aims are peaceful.
IAEA
Mi siyo saizi yako mtu mwenyewe hujuwi nchi za mashariki ya kati ni zipi wala mashariki ya mbali ni zipi mi nitakusaidia nini sasa? Rudi darasani kwanza ukasome halafu ndio uje.Nyuklia sio matako, kusema kila Mtu awe nayo. Iran hawawezi kutengeneza Helkopta waje watengeneze nyuklia.
Mashariki sio nchi mbili zenye nyuklia. Zipo nyingi tuuu zenye hayo machuma.
, Pakistan ๐ต๐ฐ , India ๐ฎ๐ณ, Israel ๐ฎ๐ฑ , China ๐จ๐ณ, Russia ๐ท๐บ na mwenyewe yupo na ulaya na Asia na Japan na wenyewe watakuwa nayo
We shikilia msalaba ngojea uende peponi Yesu kabeba dhambi zenu ๐Wote wanaotaka kuifuta Israel kwenye ramani ya dunia ndio wanafutika wenyewe.
Japan siyo nyuklia tu, hata silaha kali za kisasa hana. haruhusiwi kutengeneza silaha bila kibali na uangalizi wa Marekani. Ni kama ilivyo kwa Ujerumani. Baada ya Vita vya pili vya dunia Japan na Ujerumani walionekana vitoto vitukutu sana ambao siku moja wanaweza kuichoma dunia nzima. Hivyo, walisainishwa mikataba ya kunyang'anywa silaha walizo nazo na kupewa masharti ya kumiliki na kutengenza silaha. Lakini pia walihakikishiwa usalama na ulinzi wa mipata yao kuwa damana ya Marekani. Ndo maana Marekani ana kambi kubwa za Kijeshi ndani ya ardhi ya Ujerumani na Japan.Nyuklia sio matako, kusema kila Mtu awe nayo. Iran hawawezi kutengeneza Helkopta waje watengeneze nyuklia.
Mashariki sio nchi mbili zenye nyuklia. Zipo nyingi tuuu zenye hayo machuma.
, Pakistan ๐ต๐ฐ , India ๐ฎ๐ณ, Israel ๐ฎ๐ฑ , China ๐จ๐ณ, Russia ๐ท๐บ na mwenyewe yupo na ulaya na Asia na Japan na wenyewe watakuwa nayo
Asia add China,Japan siyo nyuklia tu, hata silaha kali za kisasa hana. haruhusiwi kutengeneza silaha bila kibali na uangalizi wa Marekani. Ni kama ilivyo kwa Ujerumani. Baada ya Vita vya pili vya dunia Japan na Ujerumani walionekana vitoto vitukutu sana ambao siku moja wanaweza kuichoma dunia nzima. Hivyo, walisainishwa mikataba ya kunyang'anywa silaha walizo nazo na kupewa masharti ya kumiliki na kutengenza silaha. Lakini pia walihakikishiwa usalama na ulinzi wa mipata yao kuwa damana ya Marekani. Ndo maana Marekani ana kambi kubwa za Kijeshi ndani ya ardhi ya Ujerumani na Japan.
Kwa asia mwenye Nyuklia ni Rusia, Pakistan, India, Korea ya Kusini na Israel. Ulaya mwenye Nyukilia ni UK na Ufaransa na kaka yao USA