Ianzishwe mikopo ya wahitimu na sharti la kuipata iwe vyeti na vitambulisho vyao

Mikopo sio tatizo je wanaelimu juu ya uzalishaji mali? Zaidi ya kuwaza ngono Hakuna cha ziada wanajua
Sio wote kuna graduates wanamawazo mazuri tu ya maendeleo tatizo mitaji awana usiwajumuishe wote wakaonekana wa ovyoo sio sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…