Financial Market 255
Member
- Jul 19, 2021
- 15
- 52
23,April, 2021...
.
....Fred Vunjabei akiwa XXL ya Clouds FM...
Alivujisha Siri Kibao za Mafanikio
ILA...
Hizi 7 ndio Siri Konki Zaidi
.
...na Zitaenda Kubadisha Maisha 10X Zaidi Guaranteed
.
Well...nisikuchoshe Ingia Mgodini Hapa Chini...
.
1). Huwezi Kuwakamata Samaki Wakubwa (Papa) Katika Mito Midogo...👇
Ili Kuwakamata Samaki Wakubwa Itabidi uende Sehemu Walipo...(Baharini)
.
Alimanaanisha Nini?...
.
Huwezi Kukutana na Watu watakaokupa Michongo ya Pesa Nyingi Katika Mazingira ya Hovyo...Nenda Sehemu Walipo
.
Hivyo ulivyo ni Zao la Mazingira yako
Na Aina ya Watu unaotumia Muda wako Mwingi Kuwa nao!
.
2). AKILI Yako Ndio ASSET Muhimu Zaidi Katika Maisha Yako...
.
Ilinde na kuitunza Zaidi ya Mboni ya jicho Lako...
.
...Hata Siku moja Usiruhusu Magugu yaote Kichwani Mwako
.
3). Hakuna Njia ya Mkato Kwenye Mafanikio ya Aina yoyote...Lazima Kuna Gharama ya Kulipa Ili Kupata Mafanikio unayoyataka
Kwahiyo...
Tambua unataka Mafanikio ya Aina gani... Halafu Jua Gharama yake kisha Kuwa Busy Kuilipa Hiyo Gharama then Booom..!
No
Hakuna SHORTCUT ya Mafanikio!
.
4). Experience ya Mtu Mwingine Kwenye Chochote...Ndio Mwalimu wako Bora Zaidi
.
Jifunze Kutoka Kwenye Experience ya Wengine...that's how you GROW!
.
5). Acha Kusubiri Wakati Sahihi Ili Uanze Kuchukua ya Vitu vinavyoweza Kubadilisha Maisha Yako...
.
Wakati Sahihi hautakaaga ufike...utausubiri Maisha Yako yote Mpaka unaingia Kaburini
.
ANZA SASAHIVI!
.
6). Huwezi Kuwa Zaidi ya Kiwango Cha MAARIFA uliyonayo Kichwani Mwako..
.
...Ndio Maana ni Muhimu kuwekeza Kila Siku Kwenye 👇
TAARIFA Mpya Kupitia Vitabu, Courses, Mentorship, Coaching, Masterclass nk
.
The More you LEARN...the More you EARN
.
Watu Wote waliofanikiwa Duniani Wana Kitu Kimoja in Common...
.
"Wote Wanasoma Vitabu"
.
Key: Tafuta KNOWLEDGE Kwa Gharama yoyote Ile
.
7). Mtu yeyote mwenye MINDSET ya Kimasikini atazalisha Matokeo ya Kimasikini Hata Umpeleke wapi Duniani
.
Kwahiyo
.
Kama Unataka KUFANIKIWA Kwenye Chochote Unatakiwa uwe Serious kwenye Kubadilisha MINDSET Yako
.
Hivyo ulivyo ni MATOKEO ya MINDSET yako
.
Ishi Kwenye ABUNDANCE Mindset...Toroka kwenye SCARCITY Mindset
.
I hope Umepata Kitu
.
P. S. By the way sina Uhakika kama Hii Itakufaa ila kama Unatamani kutoboa kimaisha Kupitia Uwekezaji Kama vile Hisa hatifungani pamoja na Vipande
basi Gusa LinkUwekezaji Katika Hisa Ebook Kujipatia Ebook yako ya Uwekezaji Katika Hisa Bure Kabisa
.
Cc: Sukuma Dragon