Ibada ya funga katika dini zenu haina utaratibu maalumu ndio maana mnakashifu funga ya Waislamu

MOSHI UFUNDI

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2022
Posts
538
Reaction score
1,278
1. Dini zetu mpaka sasa hatujui funga ni lazima au hiyari
2. Dini zetu mpaka sasa hatujui tunafungafunga vipi?
3. Dini zetu mpaka sasa hatujui hii ibada inaanza lini na inatamatika lini na kwa utaratibu gani
4. Dini zetu mpaka sasa hatujui hata ibada ya funga imelekezwa vipi katika vitabu vipi? Huwezi elekeza ibada kubwa kama hiyo kwa mistari miwili.
5. Dini yetu haijatoa hata mbadala kwa mtu ambae hawezi kufunga afanye nini na nini kufidia,,

Hizi ndio sababu tuko bize kuwapopoa kobazi humu na hoja mara ooh wanashindilia misosi usiku,, ohh mara wana kula sana kipindi cha Ramadhani.

Tuacheni chuki za kipuuzi huu mfungo wa wenzetu ni maarufu na wanauheshimu kuliko sisi.

Tazama kuna Ramadhani na Kwarezma lakini swali je Funga gani inasemwa sana na kutrend huko mtaani??
 
Uzi mzuri sana , funga ya Kiislamu ni somo kabisa na Ina vitabu kuhusu Sheria , taratibu nk.

Na vitabu vyetu vinaelekeza malengo ya funga na mtu akifunga anatakiwa afanye nini , ila watu wengi hawasomi wala kujijua funga kiuhalisia wake.
 
Inatrend sababu wanajipikilisha mapocho mapocho mengi mkuu 😹😹

Kama mihogo ya nazi na maini niliyokula jana weeh 😋
Na uji wa iliki na pilipili manga kama tupo uarabuni vile..!!

Huku kwingine ni kitimoto na mvinyo wenye chachu tu..!! 🙂‍↕️
 
Waislamu HAWAFUNGI wanabadili ratiba ya chakula, chakula cha asubuhi wanakula saa 12 jioni, cha mchana wanakula saa 4, cha jioni wanakula alfajiri. Tena kipindi kinachoitwa ramadhani ndiyo wanakula kama panya buku.
SOma uzi vizuri we Ponjoro.
Waislam wamenyooka sana kwenye mambo yao. Vitu vyao wanatia mkazo sana tofauti na sisi tunaoiga iga kwenye uswahili hatupo kwenye uzungu hatupo kazi ni majungu na unafiki.
Tunapenda sana kula ndio maaba funga yetu haieleweki mbele wala nyuma.
 
Waislamu HAWAFUNGI wanabadili ratiba ya chakula, chakula cha asubuhi wanakula saa 12 jioni, cha mchana wanakula saa 4, cha jioni wanakula alfajiri. Tena kipindi kinachoitwa ramadhani ndiyo wanakula kama panya buku.
Si mnasema Waislamu masikini sasa wana pata wapi uwezo wa kula vitu vyote hivyo ?

Wapi wanapokula Milo hiyo usiku research yako umefanya wapi au chuki na wivu tu ?

Na Kuna ubaya ikiwa hawavunji Sheria ? Allaah ameweka muda Fulani watu wanaweza kula na hajapangiwa mtu ale kiasi gani au mara ngapi ilimradi ikifika mda wa kujizuia na kula afunge na asile sasa wewe kwa nini uumie na mambo ambayo hayakuhusu ?

Unataka kila kitu tufanane ? Mbona ibada zenu mnapiga makelele kuimba na kucheza bila formula maalumu sasa Muislamu au MBudha akisema nyinyi hamfanyi ibada mnacheza ni sawa kuwaingilia uhuru wenu ?
 
Inatrend sababu wanajipikilisha mapocho mapocho mengi mkuu 😹😹

Kama mihogo ya nazi na maini niliyokula jana weeh 😋
Na uji wa iliki na pilipili manga kama tupo uarabuni vile..!!

Huku kwingine ni kitimoto na mvinyo wenye chachu tu..!! 🙂‍↕️
Wanawake wa kiislamu wanajua kupika ebhana..
Haswa hawa wa Tanga,, unakula Chapati mpaka unajiuliza kwani kule nimetoka zile ni chapati kweli??
 
Back
Top Bottom