MOSHI UFUNDI
JF-Expert Member
- Nov 25, 2022
- 538
- 1,278
- Thread starter
- #21
Unayaweza ya watanga??Mlete kwangu nimfundishe 😜
Au mdigo weyeee
Unayaweza ya watanga??Mlete kwangu nimfundishe 😜
Aah sisi hatufuati maandiko yetu ndio maana hata yesu tumeshindwa kumfuata yeye hakuoa sisi tunaoaWagalatia wanatakiwa wafunge siku 40 kavu, au siku 3 kavu Kama walivyo funga manabii lakin wao wanakula hii wametoka wapi?
Esther 4:16
Mathew 4:2
Miye mbondei atiii 👌😌Unayaweza ya watanga??
Au mdigo weyeee
Kumuabudu mungu lazimaToka lini funga ikawa lazima?
Waooo!Miye mbondei atiii 👌😌
Ulichokisema na alichokisema mtoa mada ni mbingu na ardhi.mtoa mada wewe ndio hujui maana ya kufunga, kipindi hiki ni cha toba na kutenda yale yaliyo mema ila umekuja kuleta mipashona chuki.
Uislamu na Ukristo ni dini mbili tofauti kabisa hivyo ni ujinga kuwaringishia au kuwapiga kijembe Wagalatia kwa kuwa hawana funga kama ya Waislamu kwa sababu kwa Wagalatia hakuna maelekezo au mafundisho ya kufunga kama kundi, pamoja na Wagalatia kuwa hawana mafundisho ya kufunga haiwazuii hata kidogo kujadili funga ya Waislamu kwa sababu ni imani tu kama vile kuoa wake wengi, swala tano, kusema Yesu hakufa msalabani n.k yote yanaweza kujadiliwa.SOma uzi vizuri we Ponjoro.
Waislam wamenyooka sana kwenye mambo yao. Vitu vyao wanatia mkazo sana tofauti na sisi tunaoiga iga kwenye uswahili hatupo kwenye uzungu hatupo kazi ni majungu na unafiki.
Tunapenda sana kula ndio maaba funga yetu haieleweki mbele wala nyuma.
Kujadiliwa au kukosolewa dini yako sio kuingiliwa uhuru wako, wewe kutaka kuzuia watu kufanya mjadala ndio kuingilia uhuru wao.Si mnasema Waislamu masikini sasa wana pata wapi uwezo wa kula vitu vyote hivyo ?
Wapi wanapokula Milo hiyo usiku research yako umefanya wapi au chuki na wivu tu ?
Na Kuna ubaya ikiwa hawavunji Sheria ? Allaah ameweka muda Fulani watu wanaweza kula na hajapangiwa mtu ale kiasi gani au mara ngapi ilimradi ikifika mda wa kujizuia na kula afunge na asile sasa wewe kwa nini uumie na mambo ambayo hayakuhusu ?
Unataka kila kitu tufanane ? Mbona ibada zenu mnapiga makelele kuimba na kucheza bila formula maalumu sasa Muislamu au MBudha akisema nyinyi hamfanyi ibada mnacheza ni sawa kuwaingilia uhuru wenu ?
Nyinyi makafiri funga yenu ya kwaresma mnafungaje?Uislamu na Ukristo ni dini mbili tofauti kabisa hivyo ni ujinga kuwaringishia au kuwapiga kijembe Wagalatia kwa kuwa hawana funga kama ya Waislamu kwa sababu kwa Wagalatia hakuna maelekezo au mafundisho ya kufunga kama kundi, pamoja na Wagalatia kuwa hawana mafundisho ya kufunga haiwazuii hata kidogo kujadili funga ya Waislamu kwa sababu ni imani tu kama vile kuoa wake wengi, swala tano, kusema Yesu hakufa msalabani n.k yote yanaweza kujadiliwa.
Makafiri' wapo wa aina nyingi, wapo wanaopunguza kula(sio kufunga) na kutokula nyama ambao ni TEC mnaowachukia zaidi na wengine hakuna kinachobadilika maisha yanaendelea kama kawaida tu na wanafunga kibinafsi wakati wowote kadri wanavyojisikia.Nyinyi makafiri funga yenu ya kwaresma mnafungaje?
Sasa nimepata majibu kwanini mna wivu chuki na hasira dhidi ya funga ya waislamu.Makafiri' wapo wa aina nyingi, wapo wanaopunguza kula(sio kufunga) na kutokula nyama ambao ni TEC mnaowachukia zaidi na wengine hakuna kinachobadilika maisha yanaendelea kama kawaida tu na wanafunga kibinafsi wakati wowote kadri wanavyojisikia.
Hujakosea mkuu sisi Wavivu sana wa kufunga na tunaogopa njaa balaa.Sasa nimepata majibu kwanini mna wivu chuki na hasira dhidi ya funga ya waislamu.
Anyway mda wa iftari unakaribia karibu sana.
Busu la Kenge
zitto junior
1. Dini zetu mpaka sasa hatujui funga ni lazima au hiyari
2. Dini zetu mpaka sasa hatujui tunafungafunga vipi?
3. Dini zetu mpaka sasa hatujui hii ibada inaanza lini na inatamatika lini na kwa utaratibu gani
4. Dini zetu mpaka sasa hatujui hata ibada ya funga imelekezwa vipi katika vitabu vipi? Huwezi elekeza ibada kubwa kama hiyo kwa mistari miwili.
5. Dini yetu haijatoa hata mbadala kwa mtu ambae hawezi kufunga afanye nini na nini kufidia,,
Hizi ndio sababu tuko bize kuwapopoa kobazi humu na hoja mara ooh wanashindilia misosi usiku,, ohh mara wana kula sana kipindi cha Ramadhani.
Tuacheni chuki za kipuuzi huu mfungo wa wenzetu ni maarufu na wanauheshimu kuliko sisi.
Tazama kuna Ramadhani na Kwarezma lakini swali je Funga gani inasemwa sana na kutrend huko mtaani??
Sio uvivu tu.Hujakosea mkuu sisi Wavivu sana wa kufunga na tunaogopa njaa balaa.
Hapa mwanangu Busu la Kenge angenunua kama chupa 1000 hivi.
Kama huko kwenu hamjui shauri yenu! Kwa hiyo unataka tufuate wanayofanya Waislam? Sisi Wakatoliki tunajua tunachofunga! Rarueni mioyo yenu wala si mavazi!1. Dini zetu mpaka sasa hatujui funga ni lazima au hiyari
2. Dini zetu mpaka sasa hatujui tunafungafunga vipi?
3. Dini zetu mpaka sasa hatujui hii ibada inaanza lini na inatamatika lini na kwa utaratibu gani
4. Dini zetu mpaka sasa hatujui hata ibada ya funga imelekezwa vipi katika vitabu vipi? Huwezi elekeza ibada kubwa kama hiyo kwa mistari miwili.
5. Dini yetu haijatoa hata mbadala kwa mtu ambae hawezi kufunga afanye nini na nini kufidia,,
Hizi ndio sababu tuko bize kuwapopoa kobazi humu na hoja mara ooh wanashindilia misosi usiku,, ohh mara wana kula sana kipindi cha Ramadhani.
Tuacheni chuki za kipuuzi huu mfungo wa wenzetu ni maarufu na wanauheshimu kuliko sisi.
Tazama kuna Ramadhani na Kwarezma lakini swali je Funga gani inasemwa sana na kutrend huko mtaani??