MOSHI UFUNDI
JF-Expert Member
- Nov 25, 2022
- 538
- 1,278
KWeli mkuu kuna wivu unazid mpk inakuwa ujinga.Mjinga unampuuza kwa kukaa kimya ila kuna wajinga wengine wanatakiwa kuambiwa kabisa ni wajinga na tumewapuuuza
Fact.Misleading...!
Uzi mzuri sana , funga ya Kiislamu ni somo kabisa na Ina vitabu kuhusu Sheria , taratibu nk.1. Dini zetu mpaka sasa hatujui funga ni lazima au hiyari
2. Dini zetu mpaka sasa hatujui tunafungafunga vipi?
3. Dini zetu mpaka sasa hatujui hii ibada inaanza lini na inatamatika lini na kwa utaratibu gani
4. Dini zetu mpaka sasa hatujui hata ibada ya funga imelekezwa vipi katika vitabu vipi? Huwezi elekeza ibada kubwa kama hiyo kwa mistari miwili.
5. Dini yetu haijatoa hata mbadala kwa mtu ambae hawezi kufunga afanye nini na nini kufidia,,
Hizi ndio sababu tuko bize kuwapopoa kobazi humu na hoja mara ooh wanashindilia misosi usiku,, ohh mara wana kula sana kipindi cha Ramadhani.
Tuacheni chuki za kipuuzi huu mfungo wa wenzetu ni maarufu na wanauheshimu kuliko sisi.
Tazama kuna Ramadhani na Kwarezma lakini swali je Funga gani inasemwa sana na kutrend huko mtaani??
SOma uzi vizuri we Ponjoro.Waislamu HAWAFUNGI wanabadili ratiba ya chakula, chakula cha asubuhi wanakula saa 12 jioni, cha mchana wanakula saa 4, cha jioni wanakula alfajiri. Tena kipindi kinachoitwa ramadhani ndiyo wanakula kama panya buku.
Kwahilo mmenyooka mkuu.Uzi mzuri sana , funga ya Kiislamu ni somo kabisa na Ina vitabu kuhusu Sheria , taratibu nk.
Na vitabu vyetu vinaelekeza malengo ya funga na mtu akifunga anatakiwa afanye nini , ila watu wengi hawasomi wala kujijua funga kiuhalisia wake.
Si mnasema Waislamu masikini sasa wana pata wapi uwezo wa kula vitu vyote hivyo ?Waislamu HAWAFUNGI wanabadili ratiba ya chakula, chakula cha asubuhi wanakula saa 12 jioni, cha mchana wanakula saa 4, cha jioni wanakula alfajiri. Tena kipindi kinachoitwa ramadhani ndiyo wanakula kama panya buku.
Wanawake wa kiislamu wanajua kupika ebhana..Inatrend sababu wanajipikilisha mapocho mapocho mengi mkuu πΉπΉ
Kama mihogo ya nazi na maini niliyokula jana weeh π
Na uji wa iliki na pilipili manga kama tupo uarabuni vile..!!
Huku kwingine ni kitimoto na mvinyo wenye chachu tu..!! πββοΈ
Ulipita kwa Shekhe nani ukamkuta anapata hivyo vitu hio saa 12 Jioni?Huku kwingine ni kitimoto na mvinyo wenye chachu tu..!! πββοΈ
Chapati zina page unasoma kama kitabu πΉπΉπΉWanawake wa kiislamu wanajua kupika ebhana..
Haswa hawa wa Tanga,, unakula Chapati mpaka unajiuliza kwani kule nimetoka zile ni chapati kweli??
Nipo hapa mkuu nipoau MBudha akisema nyinyi hamfanyi ibada mnacheza ni sawa kuwaingilia uhuru wenu ?
THE BIG SHOW πΉπΉUlipita kwa Shekhe nani ukamkuta anapata hivyo vitu hio saa 12 Jioni?
Oya sio poa.Chapati zina page unasoma kama kitabu πΉπΉπΉ
Mlete kwangu nimfundishe πOya sio poa.
Mke wangu inabidi akapigwe tutorial Tanga ya mapishi.