Ibada ya funga katika dini zenu haina utaratibu maalumu ndio maana mnakashifu funga ya Waislamu

Wagalatia wanatakiwa wafunge siku 40 kavu, au siku 3 kavu Kama walivyo funga manabii lakin wao wanakula hii wametoka wapi?

Esther 4:16
Mathew 4:2
Aah sisi hatufuati maandiko yetu ndio maana hata yesu tumeshindwa kumfuata yeye hakuoa sisi tunaoa
 
Uislamu na Ukristo ni dini mbili tofauti kabisa hivyo ni ujinga kuwaringishia au kuwapiga kijembe Wagalatia kwa kuwa hawana funga kama ya Waislamu kwa sababu kwa Wagalatia hakuna maelekezo au mafundisho ya kufunga kama kundi, pamoja na Wagalatia kuwa hawana mafundisho ya kufunga haiwazuii hata kidogo kujadili funga ya Waislamu kwa sababu ni imani tu kama vile kuoa wake wengi, swala tano, kusema Yesu hakufa msalabani n.k yote yanaweza kujadiliwa.
 
Kujadiliwa au kukosolewa dini yako sio kuingiliwa uhuru wako, wewe kutaka kuzuia watu kufanya mjadala ndio kuingilia uhuru wao.
 
Nyinyi makafiri funga yenu ya kwaresma mnafungaje?
 
Nyinyi makafiri funga yenu ya kwaresma mnafungaje?
Makafiri' wapo wa aina nyingi, wapo wanaopunguza kula(sio kufunga) na kutokula nyama ambao ni TEC mnaowachukia zaidi na wengine hakuna kinachobadilika maisha yanaendelea kama kawaida tu na wanafunga kibinafsi wakati wowote kadri wanavyojisikia.
 
Makafiri' wapo wa aina nyingi, wapo wanaopunguza kula(sio kufunga) na kutokula nyama ambao ni TEC mnaowachukia zaidi na wengine hakuna kinachobadilika maisha yanaendelea kama kawaida tu na wanafunga kibinafsi wakati wowote kadri wanavyojisikia.
Sasa nimepata majibu kwanini mna wivu chuki na hasira dhidi ya funga ya waislamu.

Anyway mda wa iftari unakaribia karibu sana.

Busu la Kenge

zitto junior
 

Hiyo dini ukipata holy water umemaliza kazi , ni shilingi 1000 tu za Kenya

Your browser is not able to display this video.
 
Kama huko kwenu hamjui shauri yenu! Kwa hiyo unataka tufuate wanayofanya Waislam? Sisi Wakatoliki tunajua tunachofunga! Rarueni mioyo yenu wala si mavazi!
 
Shida ni kuwa wao wakifunga, basi hawataki kuona wengine wakila. Nini hiki?

Funga ni suala la Kiroho zaidi na sio la kimwili kama wengi wao wafanyavyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…