camerlengo
JF-Expert Member
- Jun 28, 2025
- 1,034
- 1,002
Dunga1. Dini zetu mpaka sasa hatujui funga ni lazima au hiyari
2. Dini zetu mpaka sasa hatujui tunafungafunga vipi?
3. Dini zetu mpaka sasa hatujui hii ibada inaanza lini na inatamatika lini na kwa utaratibu gani
4. Dini zetu mpaka sasa hatujui hata ibada ya funga imelekezwa vipi katika vitabu vipi? Huwezi elekeza ibada kubwa kama hiyo kwa mistari miwili.
5. Dini yetu haijatoa hata mbadala kwa mtu ambae hawezi kufunga afanye nini na nini kufidia,,
Hizi ndio sababu tuko bize kuwapopoa kobazi humu na hoja mara ooh wanashindilia misosi usiku,, ohh mara wana kula sana kipindi cha Ramadhani.
Tuacheni chuki za kipuuzi huu mfungo wa wenzetu ni maarufu na wanauheshimu kuliko sisi.
Tazama kuna Ramadhani na Kwarezma lakini swali je Funga gani inasemwa sana na kutrend huko mtaani??
Mpendwa umenifurahisha sana ulipolinganisha Quaresma na Ramadhani na ukauliza katika funga hizi mbili ipi inatrend!1. Dini zetu mpaka sasa hatujui funga ni lazima au hiyari
2. Dini zetu mpaka sasa hatujui tunafungafunga vipi?
3. Dini zetu mpaka sasa hatujui hii ibada inaanza lini na inatamatika lini na kwa utaratibu gani
4. Dini zetu mpaka sasa hatujui hata ibada ya funga imelekezwa vipi katika vitabu vipi? Huwezi elekeza ibada kubwa kama hiyo kwa mistari miwili.
5. Dini yetu haijatoa hata mbadala kwa mtu ambae hawezi kufunga afanye nini na nini kufidia,,
Hizi ndio sababu tuko bize kuwapopoa kobazi humu na hoja mara ooh wanashindilia misosi usiku,, ohh mara wana kula sana kipindi cha Ramadhani.
Tuacheni chuki za kipuuzi huu mfungo wa wenzetu ni maarufu na wanauheshimu kuliko sisi.
Tazama kuna Ramadhani na Kwarezma lakini swali je Funga gani inasemwa sana na kutrend huko mtaani??
Umesoma vitabu ukajua wagalatia hawana muongozo.wa funga?1. Dini zetu mpaka sasa hatujui funga ni lazima au hiyari
2. Dini zetu mpaka sasa hatujui tunafungafunga vipi?
3. Dini zetu mpaka sasa hatujui hii ibada inaanza lini na inatamatika lini na kwa utaratibu gani
4. Dini zetu mpaka sasa hatujui hata ibada ya funga imelekezwa vipi katika vitabu vipi? Huwezi elekeza ibada kubwa kama hiyo kwa mistari miwili.
5. Dini yetu haijatoa hata mbadala kwa mtu ambae hawezi kufunga afanye nini na nini kufidia,,
Hizi ndio sababu tuko bize kuwapopoa kobazi humu na hoja mara ooh wanashindilia misosi usiku,, ohh mara wana kula sana kipindi cha Ramadhani.
Tuacheni chuki za kipuuzi huu mfungo wa wenzetu ni maarufu na wanauheshimu kuliko sisi.
Tazama kuna Ramadhani na Kwarezma lakini swali je Funga gani inasemwa sana na kutrend huko mtaani??
Mbona mwamed alioa kitoto cha miaka 9 wewe huoi icho kitotoAah sisi hatufuati maandiko yetu ndio maana hata yesu tumeshindwa kumfuata yeye hakuoa sisi tunaoa
Imani hiyo ya ajabu sana eti kufunga lazma uchizi mwingi kichwani haoToka lini funga ikawa lazima?
Mkifunga mnanuka midomoSasa nimepata majibu kwanini mna wivu chuki na hasira dhidi ya funga ya waislamu.
Anyway mda wa iftari unakaribia karibu sana.
Busu la Kenge
zitto junior
Mtu awezi kumuamini Muhammad na uislamu kisha awe na akili timamu...ukiwa na akili timamu utajua kuwa Muhammad na uislamu ni dini ya SHETANI IBILISI KWA ASILIMIA 100Γ HAKUNA SHAKA YOYOTE KWENYE HILI. adriz Al-mukheef FaizaFoxy Malaria 2 Covax Jagina1. Dini zetu mpaka sasa hatujui funga ni lazima au hiyari
2. Dini zetu mpaka sasa hatujui tunafungafunga vipi?
3. Dini zetu mpaka sasa hatujui hii ibada inaanza lini na inatamatika lini na kwa utaratibu gani
4. Dini zetu mpaka sasa hatujui hata ibada ya funga imelekezwa vipi katika vitabu vipi? Huwezi elekeza ibada kubwa kama hiyo kwa mistari miwili.
5. Dini yetu haijatoa hata mbadala kwa mtu ambae hawezi kufunga afanye nini na nini kufidia,,
Hizi ndio sababu tuko bize kuwapopoa kobazi humu na hoja mara ooh wanashindilia misosi usiku,, ohh mara wana kula sana kipindi cha Ramadhani.
Tuacheni chuki za kipuuzi huu mfungo wa wenzetu ni maarufu na wanauheshimu kuliko sisi.
Tazama kuna Ramadhani na Kwarezma lakini swali je Funga gani inasemwa sana na kutrend huko mtaani??
Hujaisoma biblia vzr!Kumuabudu mungu lazima
Wenzetu katika nguzo zao za uislamu funga ipo.
Haya tuseme sisi upande wetu andiko lipi limezungumzia funga? Linasema vipi?
Mbona umeleta clip kiduchu tu. Ilete yote. Ungalijua John Okello Mkatoliki chini ya operesheni ya Mkatoliki Nyerere alisema ni baada kuuwa watu 17000 Zanzibar , basi hata usingaliileta hiyo clip
Kuua wakoloni ni kosa gani nani aliwapa haki ya kutukolonaiziiπππMbona umeleta clip kiduchu tu. Ilete yote. Ungalijua John Okello Mkatoliki chini ya operesheni ya Mkatoliki Nyerere alisema ni baada kuuwa watu 17000 Zanzibar , basi hata usingaliileta hiyo clip
1. Dini zetu mpaka sasa hatujui funga ni lazima au hiyari
2. Dini zetu mpaka sasa hatujui tunafungafunga vipi?
3. Dini zetu mpaka sasa hatujui hii ibada inaanza lini na inatamatika lini na kwa utaratibu gani
4. Dini zetu mpaka sasa hatujui hata ibada ya funga imelekezwa vipi katika vitabu vipi? Huwezi elekeza ibada kubwa kama hiyo kwa mistari miwili.
Swali simple sana, Sasa kama unaona huwezi kufunga na kufunga sio lazima Kwann ufunge?5. Dini yetu haijatoa hata mbadala kwa mtu ambae hawezi kufunga afanye nini na nini kufidia,,
Ramadhani ndio maarufu kwa sababu imebeba ujinga na unafiki mwingi.Tazama kuna Ramadhani na Kwarezma lakini swali je Funga gani inasemwa sana na kutrend huko mtaani??
Dunga
Mpendwa umenifurahisha sana ulipolinganisha Quaresma na Ramadhani na ukauliza katika funga hizi mbili ipi inatrend!
Definitely Ramadhan lazima i trend kwa sababu vitabu vya wakristu kupitia Isaya 58 na Mathayo 6 vinaelekeza namna Bora ya funga.
Mathayo 6:16-18
16 Tena mfungapo, msiwe kama wanafiki wenye uso wa kukunjamana; maana hujiumbua nyuso zao, ili waonekane na watu kuwa wanafunga. Amin, nawaambia, wamekwisha kupata thawabu yao.
17 Bali wewe ufungapo, jipake mafuta kichwani, unawe uso;
18 ili usionekane na watu kuwa unafunga, ila na Baba yako aliye sirini; na Baba yako aonaye sirini atakujazi.
Soma pia Isaya 58
Husema, Mbona tumefunga, lakini huoni? Mbona tumejitaabisha nafsi zetu, lakini huangalii? Fahamuni, siku ya kufunga kwenu mnatafuta anasa zenu wenyewe, na kuwalemea wote watendao kazi kwenu.
4 Tazama, ninyi mwafunga mpate kushindana na kugombana, na kupiga kwa ngumi ya uovu. Hamfungi siku hii ya leo hata kuisikizisha sauti yenu juu.
5 Je! Kufunga namna hii ni saumu niliyoichagua mimi? Je! Ni siku ya mtu kujitaabisha nafsi yake? Ni kuinama kichwa kama unyasi, na kutanda nguo za magunia na majivu chini yake? Je! Utasema ni siku ya kufunga, na ya kukubaliwa na Bwana?
6 Je! Saumu niliyoichagua, siyo ya namna hii? Kufungua vifungo vya uovu, kuzilegeza kamba za nira, kuwaacha huru walioonewa, na kwamba mvunje kila nira?
7 Je! Siyo kuwagawia wenye njaa chakula chako, na kuwaleta maskini waliotupwa nje nyumbani kwako? Umwonapo mtu aliye uchi, umvike nguo; wala usijifiche na mtu mwenye damu moja nawe?
8 Ndipo nuru yako itakapopambazuka kama asubuhi, na afya yako itatokea mara; na haki yako itakutangulia; utukufu wa Bwana utakufuata nyuma ukulinde.
9 Ndipo utaita, na Bwana ataitika; utalia, naye atasema, Mimi hapa. Kama ukiiondoa nira; isiwepo kati yako, wala kunyosha kidole, wala kunena maovu;
Mbona umepanic sana bro..!?Makobaz hawana akili, afu huyo huyo anasema funga imeandikwa mistari miwili π
Kwahy huyu kobaz anaangalia umaarufu wa funga ya kobaz na Wakristo ila haangalii nia ya kufunga π
Kwahiyo ulitaka Zanzibar mpaka leo iwe chini ya Sultani?YAANI MTANGANYIKA MKATOLIKI NA MGANDA MKATOLIKI ANAWAONA WALIOKO ZANZIBAR NI WAKOLONI NA WANASTAHILI KUULIWA