Ibada ya funga katika dini zenu haina utaratibu maalumu ndio maana mnakashifu funga ya Waislamu

Kuua wakoloni ni kosa gani nani aliwapa haki ya kutukolonaizii๐Ÿ™„๐Ÿ™„๐Ÿ™„

YAANI MTANGANYIKA MKATOLIKI NA MGANDA MKATOLIKI ANAWAONA WALIOKO ZANZIBAR NI WAKOLONI NA WANASTAHILI KUULIWA?????
 

Kwanza, Uislamu si โ€œdini ya Wakoloni wa Middle East.โ€ Uislamu hauhusiani na kabila wala rangi. Mtume wake, Muhammad, alisema wazi:
โ€œMwarabu hana ubora juu ya asiye Mwarabu, wala mweupe juu ya mweusi, isipokuwa kwa uchamungu.โ€
Hiyo kauli ilitamkwa karne ya 7 โ€” kabla hata Ulaya haijaanza biashara ya utumwa Afrika.
Pili, sahaba maarufu kabisa alikuwa Mwafrika mweusi: Bilal ibn Rabah. Alikuwa mtumwa, akateswa kwa sababu ya Uislamu, na Mtume akampa heshima ya kuwa muadhini wa kwanza katika historia ya Uislamu. Kama Uislamu ungeamini mweusi amelaaniwa, Bilal asingekuwa karibu hivyo.
Tatu, ubaguzi uliopo leo kwa baadhi ya Waarabu ni tatizo la tamaduni zao si mafundisho ya Uislamu. Usichanganye makosa ya watu na dini yenyewe. Hata Afrika kuna ukabila, je hiyo ina maana Ukristo au Uislamu ndio chanzo?
Nne, kusema โ€œmweusi amelaaniwaโ€ si mafundisho ya Uislamu. Hilo ni wazo lililotumiwa vibaya kihistoria na baadhi ya watu, lakini halina msingi katika Qurโ€™an.
Kama Waarabu wakifanya ubaguzi leo, je hiyo inathibitisha Mungu hayupo? Au inathibitisha binadamu wana mapungufu? Usichanganye makosa ya watu na ukweli wa hoja ya kidini.
Ukiona Mwarabu anakubagua, pigana na ubaguzi wake sio na Mungu.
 
1. Kuna kunga na kushinda njaa
2. Kuna kufunga na kubadilisha muda wa kula.
3. Kuna kufunga kwa ajili ya maombi.
4. Kuna kufunga kwa ajili ya kujitoa.

Inategemea umeamuaje hata uwe dini gani...
 

Daaah.nyie jamaa ni vilaza.kufunga hakuhitaji utararibu. Kufunga ni suala la mtu binafsi. Huwezi wapangia watu ibada ya kufunga.hamna utaratibu sababu ni suala la imani na kuguswa kwa mtu. Siyo adhabu au fashion
 
Nyerere aliua hadi mabeberu ya kikristo ya Africa kusini na msumbiji kwa kufunza majeshi ya ukombozi na kutuma vikosi huko ....waislamu siyo wazalendo hata siku moja ...je makaburu ya South Africa yalikuwa waislamu ?...Zanzibar ilikuwa chini ya waahalifu waarabu waliua sana watumwa kutoka bara na kuwa hasi ....waislamu tstizo lenu mna abudu uarabu na muarabu ndiyo maana mnaona muarabu aliye vamia zanzibar na Africa kwa ujumla kuwa alikuwa mwema...ndiyo maana mnaye Mungu mfano wa sanamu kwa kusema Mungu wa uislamu ni mungu wa KIARABU HADI INABIDI AABUDIWE KWA LUGHA YA KIARABU TU...UNAMKUTA MMATUMBI MWEUSI KAMA MPINGO KAKREMU MANENO YA KIARABU ANADAI NDIYO DUA YA KUMUOMBEA MUNGU๐Ÿ™„๐Ÿ™„ HATA HAYO MANENO HAYA ELEWI MAANA YAKE YEYE NI KUTAMKA TU .
YAANI MTANGANYIKA MKATOLIKI NA MGANDA MKATOLIKI ANAWAONA WALIOKO ZANZIBAR NI WAKOLONI NA WANASTAHILI KUULIWA?????
 
Kwani Funga inatakiwa kutrend mtaani?
 
Hapo kwenye funga ipi maarufu kati ya kwaresima na Ramadan pameniachs hoi, kwahiyo mnafunga ili mpate thawabu au mnafunga km show off kwa wanadamu wenzenu tena ambao ni makafiri,

Kufunga ni siri kati yako na Mungu wako haitakiwi hata jirani yako ajue unapojitangaza kwamba nimefunga, ukajilegeza na kujinyong'onyeza haikuongezei kitu zaidi ya kuwa mpumbavu aliye shinda njaa
 
Ulipata kiasi gani kwenye zile sadaka zilizoibiwa na bodi yenu kanisani?
 
Ulipata kiasi gani kwenye zile sadaka zilizoibiwa na bodi yenu kanisani?
๐Ÿ˜ mudi boy siyo mtume siyo chochote ni galasa la shetani....kama unataka proof ninazo
 
๐Ÿ˜ mudi boy siyo mtume siyo chochote ni galasa la shetani....kama unataka proof ninazo
Mudi boy ni yule alokuwa mchezaji wa Real madrid ,Mudrick ?? Kwani kajitangazia utume lini ??
 

Kama anavyoyauwa Samia hivi sasa aliyewekwa na mfumo wa Nyerere ???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ