February Makamba
JF-Expert Member
- Jan 31, 2020
- 2,151
- 2,983
Hizo siku za kuabudu za wayahudi na wazungu au waarabu, hazituhusu sisi wabantu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasadiki kwa Kanisa Takatifu Katoliki la Mitume", periodKwanza kabisa naomba msingi wa uzi huu uwe kwenye ukristo, maana tukiongea kwa misingi ya madhehebu yetu hatutafika lengo letu.
Karne ya kwanza ya 1, 2, 3 watu walipumzika na kuabudu siku ya Jumamosi mwanzoni mwa Karne ya nne watu fulani waliamua kubadili siku hii na kuhamia Jumapili. Je tunafuata maagizo ya wanadamu wenzetu au tunafuata Maagizo ya Mungu?
Kila aliyeuona uzi huu ninaamini ana access ya mtandao, unaweza kugoogle ibada ya jumapili imeanzishwa lini na mwanzilishi ni nani.
Tangu kuumbwa kwa dunia Mungu alishaweka wazi kwamba Sabato ni siku takatifu na aliitakasa. Na katika amri zote za Mungu hii ndio amri imeandikwa kwa maelezo marefu.
Pia wakati Musa yupo kule mlimani zile siku 40 Mungu alimgusia pia kuhusu sabato na akamuambia ni agano lake la milele.
Pia hata katika agano jipya bado watu waliendelea kuabudu siku ya sabato kuanzia Yesu mwenyewe mpaka mitume baada ya Yesu.
Mfano Luka 4:16 "Akaenda Nazareti, hapo alipolelewa; na siku ya sabato akaingia katika sinagogi kama ilivyokuwa desturi yake, akasimama ili asome"
Luka 4:16 imeweka wazi kwamba ilikuwa ni desturi ya Yesu kuingia katika Sinagogi siku ya ya Sabato.
Mafungu ya sabato ni mengi na siwezi kuyaweka yote hapa, ila nataka kujibu hoja za baadhi ya watu kuhusu ibada ya J2.
1. Ibada ya J2 kama kusheherekea ufufuko wa Kristo.
Hili la kusheherekea ufufuko wa Kristo na kubadili mpaka siku aliyoweka Mungu kama siku ya ibada limeanza lini? Kwenye biblia limeandikwa wapi? Kwanini katika historia watu wameanza kutekeleza hili katika karne ya 4?
2. Yesu ndio Bwana wa Sabato, hivyo tukimfuata Yesu sabato haina haja.
Yeye mwenyewe ambaye alijiita kuwa ni Bwana wa Sabato alizishika Sabato, nimetoa mfano kwenye Luka 4:16. Lakini pia kwenye mathayo 5:18 akasema "Kwa maana, amin, nawaambia, Mpaka mbingu na nchi zitakapoondoka, yodi moja wala nukta moja ya torati haitaondoka, hata yote yatimie." Kwa maana hii sheria ya Mungu haibadiliki.
Na fungu la 5:19 akaonya juu ya wanaozivunja amri hizo "Basi mtu ye yote atakayevunja amri moja katika hizi zilizo ndogo, na kuwafundisha watu hivyo, ataitwa mdogo kabisa katika ufalme wa mbinguni; bali mtu atakayezitenda na kuzifundisha, huyo ataitwa mkubwa katika ufalme wa mbinguni."
3. Siku zote ni za Mungu,
Hakuna mtu aliyekukataza kuabudu siku yoyote, ila sabato ni siku ya kuacha kazi zako zote unazozifanya siku zile 6 za week na kupumzika na kuwa karibu na Mungu wako. Hata sisi wengine tunakuwa na ibada zetu kama kawaida siku zote za week ila sabato ya Bwana lazima tuitunze.
Swali langu kuu bado linabakia pale pale kwa wachangiaji wote.
Je, ni kwanini ibada ya J2 ianze karne ya nne baada ya watu kukaa na kuamua watu wapumzike na kuabudi jumapili? Je tunamfuata Mungu au tunawafuata Binadamu wenzetu kwa sababu tu wameamua mambo ambayo tumeyaona ni mema machoni petu?
Mungu atusaidie sana, Muwe na Sabato Njema.
Kirabu mwanzo sura ya kwanza kinaongelea kuwa Mungu alipumzika siku ya Saba je wakati anapumzika kulikuwa na kalenda kama tulizonazo leo?Tuache hayo majina ya sunday na saturday. . .
Nazungumzia ibada ya siku ya 7 na ibada ya siku ya kwanza
Hiyo dini inayosema ua kuitetea halafu utapewa mabikra 72 wanakusubiri peponi.Deen ya haq Kwa bin Adam ni Moja tu, Islam.
Umemjibu vyema sana .kiuhalisia, hatumwabudu Mungu jumapili tu au jumamosi tu, tunamwabudu Mungu kila siku maishani mwetu kwasababu tunaabudu rohoni sio mwilini. na hiyo haina siku. ninyi mnaong'ang'ania siku mnapoteza muda sana.
Wakolosai 2:16-17
Basi, mtu asiwahukumu ninyi katika vyakula au vinywaji, au kwa sababu ya sikukuu au mwandamo wa mwezi, au sabato; mambo hayo ni kivuli cha mambo yajayo; bali mwili ni wa Kristo.
Warumi 14:5-6
5 Mtu mmoja anahesabu siku fulani kuwa ni bora kuliko nyin gine na mwingine anaona kuwa siku zote ni sawa. Basi kila mmoja awe na hakika na yale anayoamini. 6 Anayehesabu siku moja kuwa takatifu hufanya hivyo kwa kumheshimu Bwana. Naye anayekula nyama hufanya hivyo kwa kumtukuza Bwana, kwa maana humshukuru Mungu. Hali kadhalika akataaye kula nyama hufanya hivyo kwa kum heshimu Bwana na humshukuru Mungu.
ni desturi tu, wala haimaanishi kwamba Mungu anapatikana zaidi siku ya jumamosi au jumapili.,Mungu anapatikana na anatakiwa kuabudiwa kila siku kila saa kila dakika kila sekunde moyoni mwako. unatakiwa kuishi na uwepo wa Mungu muda wote na uongozwe na Roho Mtakatifu muda wote.ndio ibada hiyo.Umemjibu vyema sana .
Mimi ni mlokole na siku si kipaumbele kwangu.
Lakini najiuliza kwanini sisi ambao siku si kipaumbele kwetu jumapili ndio siku kuu kwetu?
Makanisa karibu yote Jumapili ndio siku kuu. Kwanini Kila kanisa lisipange siku yake ya kufanya ibada kuu?
Hii nadhani ni impact ya Roman waasisi wa Jumapili kwakuwa makanisa mengi bado yana miiko ya Roman.
Hata Sheria za ndoa makanisa mengi yamekopi Sheria za Roman Catholic
Ulivyoandika kama vile dunia iliumbwa. 😂😂😂 Mambo umeletewa alafu unataka uyachimbe unauhakika gani huko karne ya kwanza na pili hawakusali jumapili. Yaliopita yaache maana hukuyaanzisha wala kwenye line ya kizazi chako hakuna alieanzisha wote mmepokea iwe kwa mzungu au muarabuKwanza kabisa naomba msingi wa uzi huu uwe kwenye ukristo, maana tukiongea kwa misingi ya madhehebu yetu hatutafika lengo letu.
Karne ya kwanza ya 1, 2, 3 watu walipumzika na kuabudu siku ya Jumamosi mwanzoni mwa Karne ya nne watu fulani waliamua kubadili siku hii na kuhamia Jumapili. Je tunafuata maagizo ya wanadamu wenzetu au tunafuata Maagizo ya Mungu?
Kila aliyeuona uzi huu ninaamini ana access ya mtandao, unaweza kugoogle ibada ya jumapili imeanzishwa lini na mwanzilishi ni nani.
Tangu kuumbwa kwa dunia Mungu alishaweka wazi kwamba Sabato ni siku takatifu na aliitakasa. Na katika amri zote za Mungu hii ndio amri imeandikwa kwa maelezo marefu.
Pia wakati Musa yupo kule mlimani zile siku 40 Mungu alimgusia pia kuhusu sabato na akamuambia ni agano lake la milele.
Pia hata katika agano jipya bado watu waliendelea kuabudu siku ya sabato kuanzia Yesu mwenyewe mpaka mitume baada ya Yesu.
Mfano Luka 4:16 "Akaenda Nazareti, hapo alipolelewa; na siku ya sabato akaingia katika sinagogi kama ilivyokuwa desturi yake, akasimama ili asome"
Luka 4:16 imeweka wazi kwamba ilikuwa ni desturi ya Yesu kuingia katika Sinagogi siku ya ya Sabato.
Mafungu ya sabato ni mengi na siwezi kuyaweka yote hapa, ila nataka kujibu hoja za baadhi ya watu kuhusu ibada ya J2.
1. Ibada ya J2 kama kusheherekea ufufuko wa Kristo.
Hili la kusheherekea ufufuko wa Kristo na kubadili mpaka siku aliyoweka Mungu kama siku ya ibada limeanza lini? Kwenye biblia limeandikwa wapi? Kwanini katika historia watu wameanza kutekeleza hili katika karne ya 4?
2. Yesu ndio Bwana wa Sabato, hivyo tukimfuata Yesu sabato haina haja.
Yeye mwenyewe ambaye alijiita kuwa ni Bwana wa Sabato alizishika Sabato, nimetoa mfano kwenye Luka 4:16. Lakini pia kwenye mathayo 5:18 akasema "Kwa maana, amin, nawaambia, Mpaka mbingu na nchi zitakapoondoka, yodi moja wala nukta moja ya torati haitaondoka, hata yote yatimie." Kwa maana hii sheria ya Mungu haibadiliki.
Na fungu la 5:19 akaonya juu ya wanaozivunja amri hizo "Basi mtu ye yote atakayevunja amri moja katika hizi zilizo ndogo, na kuwafundisha watu hivyo, ataitwa mdogo kabisa katika ufalme wa mbinguni; bali mtu atakayezitenda na kuzifundisha, huyo ataitwa mkubwa katika ufalme wa mbinguni."
3. Siku zote ni za Mungu,
Hakuna mtu aliyekukataza kuabudu siku yoyote, ila sabato ni siku ya kuacha kazi zako zote unazozifanya siku zile 6 za week na kupumzika na kuwa karibu na Mungu wako. Hata sisi wengine tunakuwa na ibada zetu kama kawaida siku zote za week ila sabato ya Bwana lazima tuitunze.
Swali langu kuu bado linabakia pale pale kwa wachangiaji wote.
Je, ni kwanini ibada ya J2 ianze karne ya nne baada ya watu kukaa na kuamua watu wapumzike na kuabudi jumapili? Je tunamfuata Mungu au tunawafuata Binadamu wenzetu kwa sababu tu wameamua mambo ambayo tumeyaona ni mema machoni petu?
Mungu atusaidie sana, Muwe na Sabato Njema.
Wewe mbinguni unataka uwe unafanya nini? Uwe Unakesha unaimba milele na milele bila kupumzika? Si Bora ufe tu.Hiyo dini inayosema ua kuitetea halafu utapewa mabikra 72 wanakusubiri peponi.
Yaani kwenye uislamu cha maana ni ngono peponi tu.?
Vipi naye mwanamke akiua atapewa wanaume wangapi wamshughulikie?
Nao wanawake watapewa marijali 72Wewe mbinguni unataka uwe unafanya nini? Uwe Unakesha unaimba milele na milele bila kupumzika? Si Bora ufe tu.
Huoni Raha kupatiwa mabikra watamu walionawiri kutoka kwa Allah?
Kuhusu wanawake Mimi sijui, Allah ndiye anajua
Deen ya haq Kwa bin Adam ni moja tu, Islam.
Bora umeusema ukweli kwamba wewe ni Seventh Day Adventist aka Msabato. Hatuna la kuongeza.Ukiona msabato yuko hivi huyo wa kukaa naye mbali.
Sisi wasabato tunashika na kuzifuata Amri za Mungu bila kuacha hata ile iliyo ndogo
Sikia sifa za mnyama wa kutisha (Daniel 7:25)Kwanza kabisa naomba msingi wa uzi huu uwe kwenye ukristo, maana tukiongea kwa misingi ya madhehebu yetu hatutafika lengo letu.
Karne ya kwanza ya 1, 2, 3 watu walipumzika na kuabudu siku ya Jumamosi mwanzoni mwa Karne ya nne watu fulani waliamua kubadili siku hii na kuhamia Jumapili. Je tunafuata maagizo ya wanadamu wenzetu au tunafuata Maagizo ya Mungu?
Kila aliyeuona uzi huu ninaamini ana access ya mtandao, unaweza kugoogle ibada ya jumapili imeanzishwa lini na mwanzilishi ni nani.
Tangu kuumbwa kwa dunia Mungu alishaweka wazi kwamba Sabato ni siku takatifu na aliitakasa. Na katika amri zote za Mungu hii ndio amri imeandikwa kwa maelezo marefu.
Pia wakati Musa yupo kule mlimani zile siku 40 Mungu alimgusia pia kuhusu sabato na akamuambia ni agano lake la milele.
Pia hata katika agano jipya bado watu waliendelea kuabudu siku ya sabato kuanzia Yesu mwenyewe mpaka mitume baada ya Yesu.
Mfano Luka 4:16 "Akaenda Nazareti, hapo alipolelewa; na siku ya sabato akaingia katika sinagogi kama ilivyokuwa desturi yake, akasimama ili asome"
Luka 4:16 imeweka wazi kwamba ilikuwa ni desturi ya Yesu kuingia katika Sinagogi siku ya ya Sabato.
Mafungu ya sabato ni mengi na siwezi kuyaweka yote hapa, ila nataka kujibu hoja za baadhi ya watu kuhusu ibada ya J2.
1. Ibada ya J2 kama kusheherekea ufufuko wa Kristo.
Hili la kusheherekea ufufuko wa Kristo na kubadili mpaka siku aliyoweka Mungu kama siku ya ibada limeanza lini? Kwenye biblia limeandikwa wapi? Kwanini katika historia watu wameanza kutekeleza hili katika karne ya 4?
2. Yesu ndio Bwana wa Sabato, hivyo tukimfuata Yesu sabato haina haja.
Yeye mwenyewe ambaye alijiita kuwa ni Bwana wa Sabato alizishika Sabato, nimetoa mfano kwenye Luka 4:16. Lakini pia kwenye mathayo 5:18 akasema "Kwa maana, amin, nawaambia, Mpaka mbingu na nchi zitakapoondoka, yodi moja wala nukta moja ya torati haitaondoka, hata yote yatimie." Kwa maana hii sheria ya Mungu haibadiliki.
Na fungu la 5:19 akaonya juu ya wanaozivunja amri hizo "Basi mtu ye yote atakayevunja amri moja katika hizi zilizo ndogo, na kuwafundisha watu hivyo, ataitwa mdogo kabisa katika ufalme wa mbinguni; bali mtu atakayezitenda na kuzifundisha, huyo ataitwa mkubwa katika ufalme wa mbinguni."
3. Siku zote ni za Mungu,
Hakuna mtu aliyekukataza kuabudu siku yoyote, ila sabato ni siku ya kuacha kazi zako zote unazozifanya siku zile 6 za week na kupumzika na kuwa karibu na Mungu wako. Hata sisi wengine tunakuwa na ibada zetu kama kawaida siku zote za week ila sabato ya Bwana lazima tuitunze.
Swali langu kuu bado linabakia pale pale kwa wachangiaji wote.
Je, ni kwanini ibada ya J2 ianze karne ya nne baada ya watu kukaa na kuamua watu wapumzike na kuabudi jumapili? Je tunamfuata Mungu au tunawafuata Binadamu wenzetu kwa sababu tu wameamua mambo ambayo tumeyaona ni mema machoni petu?
Mungu atusaidie sana, Muwe na Sabato Njema.
Na kwa nini mlitaka kwenda Ufaransa bila tiketi wala passport? Sijawahi kuona dhehebu la wehu kama SDAUkiona msabato yuko hivi huyo wa kukaa naye mbali.
Sisi wasabato tunashika na kuzifuata Amri za Mungu bila kuacha hata ile iliyo ndogo
Sio kweli, Ilianzia na mfalme Constatino baada ya kuokoka na kuwa mkristoKuabudu jumapili hakujaanza karne ya 4. Ni kumeanza tangu Yesu alipofufuka ile siku ya kwanza ya Juma.
Hahaaaaa, una akili sanaNadhani mleta mada umedakia tu kitu inaitwa sabato, ukadhani Sabato ni siku fulani, kupumzika na kuabudu! It is too cheap. Hicho ulichokiwaza hakiakisi hata 10% kuhusu sabato.
Ngoja nikufikirishe.
Waza kila mwanadamu wa leo ashike 'sabato' halafu tafakari maisha yatakuwaje?
Hospitali zisiwe na wafanyakazi...
Majeshi yote yaweke silaha chini...
Makampuni ya mawasiliano yafunge ofisi....
Masoko yasiuze kitu....
Maduka yafungwe.....
Vyombo vya usafiri vipaki....
Migahawa na hoteli zisitishe huduma..
TANESCO asiwepo hata mlinzi wa kulinda ofisi...
Redio, TV vyote visitishe matangazo...
Utatambua vipi kuwa hii ni siku ya saba?Tuache hayo majina ya sunday na saturday. . .
Nazungumzia ibada ya siku ya 7 na ibada ya siku ya kwanza
Alichokifanya constantino ni kuruhusu uhuru wa ki-dini, na sio kuanzisha jumapili. Unaanzishe kitu kilichokuwepo kabla yako ?. Wafalme wote kabla ya constantino walitesa na kudhulumu kanisa kitu ambacho kilifanya wanakanisa waabudu kwa maficho, wasali kisirisiri na mafichoni, baada ya kuruhusu uhuru wa kidini kila kitu sasa kikawa open kwa uhuru kwa kila mmoja kusali na kuabudu achojua na kwa siku na muda anaoujua yeye.Sio kweli, Ilianzia na mfalme Constatino baada ya kuokoka na kuwa mkristo
Nasubiri mrejesho wa hili. Kwa mwenye jibu asaidie hapaNadhani mleta mada umedakia tu kitu inaitwa sabato, ukadhani Sabato ni siku fulani, kupumzika na kuabudu! It is too cheap. Hicho ulichokiwaza hakiakisi hata 10% kuhusu sabato.
Ngoja nikufikirishe.
Waza kila mwanadamu wa leo ashike 'sabato' halafu tafakari maisha yatakuwaje?
Hospitali zisiwe na wafanyakazi...
Majeshi yote yaweke silaha chini...
Makampuni ya mawasiliano yafunge ofisi....
Masoko yasiuze kitu....
Maduka yafungwe.....
Vyombo vya usafiri vipaki....
Migahawa na hoteli zisitishe huduma..
TANESCO asiwepo hata mlinzi wa kulinda ofisi...
Redio, TV vyote visitishe matangazo...
Mie nikifika hapo tu kwenye mambo ya dini vile kila mtu alikaririshwa imani yake ndo sahihi halafu wanachokiamini wengine sio sahihi huwa nachoka!Kwanza kabisa naomba msingi wa uzi huu uwe kwenye ukristo, maana tukiongea kwa misingi ya madhehebu yetu hatutafika lengo letu.