Ibada ya Wakristo kuabudu Jumapili imeanza Karne ya nne. Ni kwanini Karne 3 za kwanza watu waliabudu Jumamosi?

Yesu alikufa siku ya Ijumaa, akashinda kaburini siku ya Sabato, na akafufuka siku ya kwanza ya juma ambayo ni Jumapili
Hii inaonyesha kuwa siku ya saba ya juma ni Jumamosi
Naongelea agano la kale wapi pameandikwa Siku ya sabato ni jumamosi? Jumamosi kiislamu ni siku ya kwanza ya juma ,jumapili ni siku ya Pili,jumatatu ni siku ya tatu jumanne ni siku.ya nne,jumatano ni siku ya tano ,alhamisi siku ya sita na ijumaa siku ya Saba.Na nchi za kiislamu ijumaa huwa siku ya mapumziko

Mungu alichosema agano la kale kukiwa kalenda hizi za leo hazipo kabisa alisema fanya kazi siku sita ya saba pumzika

Ni lini siku ya Saba jamii husika mahali ilipo.ndio.itaamua sababu hata masaa dunia nzima hayaendeni wengine upande mmoja wa dunia Muda wa sabato kwao huwa umefika wengine upande mwingine.wa dunia wanakuwa mashambani na makazini muda wa kuanza sabato ni tofauti kati ya mataifa mbalimbali

Cha msingi mtu afanye kazi siku sita ya saba apumzike

Wasabato hujaribu kuifanya Biblia iwe ngumu kueleweka bila sababu za msingi

Agizo la Mungu lilikuwa rahisi saba fanya kazi siku sita ya saba sabato wasabato wakaja kuongeza lao kuwa hiyo siku lazima iwe jumamosi kitu ambacho Mungu hata kwenye Anri zake kumi hakuweka
 
Yesu alikufa siku ya Ijumaa, akashinda kaburini siku ya Sabato, na akafufuka siku ya kwanza ya juma ambayo ni Jumapili
Hii inaonyesha kuwa siku ya saba ya juma ni Jumamosi
Naongelea agano la kale wapi pameandikwa Siku ya sabato ni jumamosi? Jumamosi kiislamu ni siku ya kwanza ya juma ,jumapili ni siku ya Pili,jumatatu ni siku ya tatu jumanne ni siku.ya nne,jumatano ni siku ya tano ,alhamisi siku ya sita na ijumaa siku ya Saba.Na nchi za kiislamu ijumaa huwa siku ya mapumziko

Mungu alichosema agano la kale kukiwa kalenda hizi za leo hazipo kabisa alisema fanya kazi siku sita ya saba pumzika

Ni lini siku ya Saba jamii husika mahali ilipo.ndio.itaamua sababu hata masaa dunia nzima hayaendeni wengine upande mmoja wa dunia Muda wa sabato kwao huwa umefika wengine upande mwingine.wa dunia wanakuwa mashambani na makazini muda wa kuanza sabato ni tofauti kati ya mataifa mbalimbali
.

Cha msingi mtu afanye kazi siku sita ya saba apumzike

Wasabato hujaribu kuifanya Biblia iwe ngumu kueleweka bila sababu za msingi

Agizo la Mungu lilikuwa rahisi saba fanya kazi siku sita ya saba sabato wasabato wakaja kuongeza lao kuwa hiyo siku lazima iwe jumamosi kitu ambacho Mungu hata kwenye Amri zake kumi hakuweka
 
Wakati wa chakula cha mana wana wa Israeli walipokuwa wanatoka Misri kwenda Kaanani nchi ya ahadi. Siku ya maandalio, siku moja kabla ya siku ya Sabato, chakula cha mana kilikuwa kinaanguka kutoka mbinguni kikiwa ni DOUBLE SHARE kwa maana kuwa walitakiwa siku hiyo kuokota share mara mbili kwa ajli ya siku ya maandalio na kesho yake siku ya sabato
Siku ya sababto inajulikana kuwa ni Jumamosi tangu wakati wa agano la kale. Sema tu wao wasabato wameendelea nayo kimakosa na pasipo kujua kama wamekosea. Sabato kuwa Jumamosi hilo hliana ubishi, kulingana na maandiko matakatifu ya Biblia
 
Yesu alikufa siku ya Ijumaa, akashinda kaburini siku ya Sabato, na akafufuka siku ya kwanza ya juma ambayo ni Jumapili
Hii inaonyesha kuwa siku ya saba ya juma ni Jumamosi
Jibu kupitia agano la kale sabato ilikotokea wapi Mungu alisema siku ya kupumzika ni siku ya Jumamosi?
 
Sabato siyo siku specific kwa jina kuwa jumatatu nk

Ni ufanyaji kazi siku sita ya saba kupumzika

Fanya kazi siku sita ya saba pumzika

Mfano mimi Mkristo nikienda Uarabuni nch8 za kiislamu ambazo siku yao ya kupumzixika ya saba ni Ijumaa sina Shida ibada nitazifanya ijumaa ni siku ya Saba baada ya kufanya kazi siku sita

Nikiienda nchi yenye wasabato watupu siku yangu ya ibada itakuwa Jumamosi sababu sijavuruga kitu nafanya kazi siku sita ya saba na pumzika
 
Yachunguze vizuri maandiko. Sabato ya tangu agano la kale ilikuwa ni Jumamosi. Ni kweli kuwa hata siku nyingine yoyote ile ya Ibada ni Sabato pia ila Sabato iliyokuwepo tangu agano la kale, ni siku moja ambayo ni Jumamosi
 
Hao wako katika kupotea wanashawishi watu waiabudu siku ya sabatho
Hata fundisho la Kristo kua binadamu hakufanyika Kwa ajiri ya sabatho bali sabatho ilifanywa Kwa ajiri ya mwanadamu nini maana yake
Mwanadam hukuumbwa kuitumikia sabatho bali sabatho ni chombo (kalenda)huyu mwanadamu katika mihangaiko yake akumbushe na hiyo siku apumzike baada ya kazi za siku sita
Ndiyo maana akaamliwa afanye kazi siku sita ya Saba apumzike fool stop
Yote na yote kwakua walikua wanatoka utumwani wasije wakaiga tabia za kutumikisha watu bila kupimzika
Kama sabatho ndiyo imani enoko aliyekufa mkamilifu alishika sabatho gani
Dunia ilighalikishwa kipindi cha nuhu walivunja sabatho gani naye nuhu aliitunza sabatho
Ibrahim rafiki yake MUNGU aliijua sabatho
Sodoma na gomola ilichomwa Moto Kwa sababu ya kuhalifu sabatho
Yakobo na watoto wake walishika sabatho ipi
Kama umenipata vizuri waliokua hawakuchukuliwa utumwani hawakuletewa sheria hiyo lakini sheria nyingine zote zilikuwepo ndiyo maana waliadhibiwa Kwa kutenda dhambi
Yeyote aliye bado utumwani mwa dhambi bado hajapumzika Kwa kua bado ana dhambi za uongo ulaghai majivuno mabishano kutokubali ukweli kuwachikia wakwenu na mengine yafananayo hiyo bado sabatho (pumziko) halipo yupo utumwani
Ukisikia yesu anasema mwana wa MTU maana yake binadamu yakua ni BWANA wa sabatho
Mwana wa MTU anamamlaka ya kufungua dhambi maana yake binadamu anamamlaka ya kusamehe dhambi
Mwana wa MTU ana mamlaka ya kuponya binadamu wanauwezo wa kuponya
Kwa kifupi alipo sema mwana wa MTU ujue hata wewe unao uwezo huo
Kuwa huru pia ni uamuzi
 
IBADA YA JUMAPILI ILIANZA ENZU ZA PAULO,KARNE YA KWANZA.ALIAGIZA WATU WAKUTANE SIKU YA KWANZA YA WIKI WATOE SADAKA.HATA YEYE ALIMEGA MKATE SIKU YA KWANZA YA JUMA.

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
HIV unajua wakristo Wana kalenda yao ambayo ni Gregorian calendar, waslam wanakalenda Yao na wayahudi wana kalenda yao. Sasa kalenda iliyoongelewa hapo ni ipi
 
Mungu hakuwa chizi aliporuhusu uwepo wa lugha na tafsiri mbalimbali, we ng'ang'ania na hiyo uijuayo usiwadhihaki wengine kwa tafsiri zao kila mtu ana utaratibu wake wa kumuendea Muumba wake.
 
Yesu alikufa siku ya Ijumaa, akashinda kaburini siku ya Sabato, na akafufuka siku ya kwanza ya juma ambayo ni Jumapili
Hii inaonyesha kuwa siku ya saba ya juma ni Jumamosi
Toa uthibitisho kuwa Yesu alikufa ijumaa?
 
Wewe ni myahudi?
 
Reversal of burden of proof!
Wewe ndiye unayetakiwa uthibitishe kwamba hakufa Ijumaa
Haiwezi kuwa hivo, wewe unaeleta hoja, thibitisha unachokisema ili tukubaliane nacho.

Otherwise ulichosema ni chai
 
Umejibu vyema hapa asiyekuelewa basi ana shida kichwani
 
Haiwezi kuwa hivo, wewe unaeleta hoja, thibitisha unachokisema ili tukubaliane nacho.

Otherwise ulichosema ni chai
Utakubaliana na nini sasa wakati hujui kotekote, yaani hujui kama ilikuwa Ijumaa na hujui kama haikuwa Ijumaa? Kama hujui, nikikudanganya je, utajuaje kama nimekudanganya? Kama hujui basi unatakaiwa ukubaliane na hiki nilichokisema hapa na kama unajua, basi unatakiwa ukiseme hapa kile unachokijua ambacho kinapingana na kile nilichokisema mimi
 
Reversal of burden of proof!
Wewe ndiye unayetakiwa uthibitishe kwamba hakufa Ijumaa
Wewe ni nani unae hubiri watu washike sabato(waache kazi siku hiyo)?
Kwahiyo tukufuate wewe au tumfuate Yesu?

Yohana 5:16
Kwa sababu hiyo Wayahudi wakamwudhi Yesu, kwa kuwa alitenda hayo siku ya sabato.

Yohana 5:17
Akawajibu, Baba yangu anatenda kazi hata sasa, nami ninatenda kazi.

Kama una akili acha mara moja hizo kampeni, kama mmoja wa wana wa Mungu kazi yako ni hii:

Luka 24:46
Akawaambia, Ndivyo ilivyoandikwa, kwamba Kristo atateswa na kufufuka siku ya tatu;
Luka 24:47
na kwamba mataifa yote watahubiriwa kwa jina lake habari ya toba na ondoleo la dhambi, kuanza tangu Yerusalemu.

Hubiri habari ya Toba na Ondoleo la dhambi na si vinginevyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…