Pia katiba imetamka kila mtu yupo huru kutoa mawazo/maoni yake, hivyo katiba inaruhusu watu kutoa maoni juu ya mwenendo wa bungeMkuu ibara ya 100 imetamka hivyo. Habari ya malipo yao mimi sijui. Sasa kama wewe upo juu ya katiba sawa.
Ila sio kwa mijadala iliyoendeshwa na kusimamiwa miaka ya hivi karibuni,kama ni kazi wasimamizi wameshindwa.Imetamkwa wazi kabisa wabunge wapo huru kujadili hoja na mijadala mbalimbali bila kuingiliwa na mtu au mhimili wa dola. Ipo wazi katika ibara ya 100(1) kwa hiyo sioni haja ya kuwapangia nini cha kujadili...
Kutoa maoni sio kuwapangia wajadili kitu gani. Tumia ubongo kufikiri.Pia katiba imetamka kila mtu yupo huru kutoa mawazo/maoni yake, hivyo katiba inaruhusu watu kutoa maoni juu ya mwenendo wa bunge
Hivyo usitufunge midomo
Mlizoea kuikanyaga sasa tunarudi kwenye mstari.Hayo unayasema wewe. Katiba ni sheria kuu ya nchi. Hakuna aliye juu ya katiba.
Najua boss, ila kuna wapuuzi wanastahili hivyo.Huu sii uwanja wa lugha chafu chafu.
Wabunge wakileta fyofyoko kwa kauli ya Rais stalivunja Bunge na kuitisha uchaguzi mwingine...Hilo likitokea ni robo tu ya wabunge was Sasa watarudi bungeniImetamkwa wazi kabisa wabunge wapo huru kujadili hoja na mijadala mbalimbali bila kuingiliwa na mtu au mhimili wa dola. Ipo wazi katika ibara ya 100(1) kwa hiyo sioni haja ya kuwapangia nini cha kujadili...
Ibara ya 100 imewapa uhuru na Kinga.Ilikuwa ushauri tuu Kama wabishi waendelee
Well said my friend!Imetamkwa wazi kabisa wabunge wapo huru kujadili hoja na mijadala mbalimbali bila kuingiliwa na mtu au mhimili wa dola. Ipo wazi katika ibara ya 100(1) kwa hiyo sioni haja ya kuwapangia nini cha kujadili...
Hakihusiani na ibara ya 100. Hata kukiwa na bunge lingine ibara ya 100 itabaki hivyohivyo labda ibadilishwe.Wabunge wakileta fyofyoko kwa kauli ya Rais stalivunja Bunge na kuitisha uchaguzi mwingine...Hilo likitokea ni robo tu ya wabunge was Sasa watarudi bungeni
Kwahiyo hiyo Kinga inazuia mtu kuwashauriIbara ya 100 imewapa uhuru na Kinga.
Wewe unafahamu vipi?Ko hiyo Kinga inazuia mtu kuwashauri
Yani kwa akili yako finyu mtu akikwambia "badala ya kufanya jambo hili ungefanya lile" hayo sio maoni? Au hata maana ya neno maoni huelewi?Kutoa maoni sio kuwapangia wajadili kitu gani. Tumia ubongo kufikiri.
Anayemlipa mpiga zumari ndiyo anachagua mwimboMkuu ibara ya 100 imetamka hivyo. Habari ya malipo yao mimi sijui. Sasa kama wewe upo juu ya katiba sawa.
Je sheria zote zinafuatwa hapa Tanzania? Au wewe Ni mbunge umekuja kujibu Kiana, bila Rais hakuna Bunge so elewa Hilo .Hayo unayasema wewe. Katiba ni sheria kuu ya nchi. Hakuna aliye juu ya katiba.
Hivi watanzania tumeelimika?Kwa hiyo wakijadili upumbavu na kudemka tueasikilize tu kwa sababu Katiba imewapa uhuru? Mbona tunaambiwa kuwa Uhuru nao una mipaka?
Hayo mbona hamkusema wakati mnapangiwa ya kuongea na jiwe? Yaani wasukuma magufuli kawaharibu sanaImetamkwa wazi kabisa wabunge wapo huru kujadili hoja na mijadala mbalimbali bila kuingiliwa na mtu au mhimili wa dola. Ipo wazi katika ibara ya 100(1) kwa hiyo sioni haja ya kuwapangia nini cha kujadili.
Ibara ya 100(2) imepigia mstari kabisa kuwa wabunge hawatashitakiwa kwa chochote watakacho jadili wakiwa bungeni.
My take; tuwaache wajadili na kufunguka ili tujue nani ni mwema na nani ni mnafiki.