Idimi
JF-Expert Member
- Mar 18, 2007
- 15,328
- 11,192
Si unamstaafisha unamteua mwingine. Kwani lazima tukae na waziri mkuu milele hata kama hatumikii nafasi yake kutokana na ugonjwa?Labda waziri mkuu yupo na terminal illness inayomfanya ashindwe kutekeleza majukumu yake vizuri