Ibenge ameshachoka na Simu za mara kwa mara za Msomali Koko

Ibenge hana timu, ashukuru mchezo wa kwanza alikutana na Utopolo iliyokuwa imechoka ila sasa atapewa kipigo kitakatifu
 
sure,
ndivyo walivyo, na hiyo tabia yao haibadilikagi,

lalafu,
nilijua umeacha zile trip za masafa marefu za DRC gentleman, kumbe bado unazipiga hadi sasa?

vip barabara lakini saivi?🐒
 
Hakuna haja ya mazungumzo, yanga acheze mpira wake ashinde, na aje nyumbani awafunge waarabu mengine ni historia.
 
Makolo mnahangaika sana, kamahatuta pita hatufi Wala siyo mara ya kwanza kushinda kupita.
 
.
 

Attachments

  • Screenshot_20250111-224743_WhatsApp.jpg
    272.4 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…