Ibenge hawezi kuiachia Yanga kirahisi rahisi

M
Kuna hii dhana ipo vichwani mwa mashabiki wa Yanga kudhani Kocha wa Al Hilal Florent Ibenge anaenda kuilegezea Yanga ili ipate walau sare katika mechi ya Jumapili. Ngoja nikwambie kwa nini hilo ni gumu kutokea.

1. Al Hilal wanataka kumaliza group stage kwa alama nyingi inavyowezekana na bila kufungwa. Hapa kuna sababu tatu. Kwanza, ni kuhakikisha wanamaliza wakiwa wanaongoza kundi. Pamoja na kwamba sare inaweza kutosha kwao kujihakikishia kuongoza kundi ila asiwaamini sana Yanga kwenye hilo, wanaweza kukubaliana watoke sare wakawageuzia kibao mwishoni mwa mechi, awe makini sana.

Pili, kumaliza kwa point nyingi na kufika mbali kwenye mashindano ni kwa ajili ya CV binafsi ya Ibenge itakayombeba mwishoni mwa msimu. Tatu, wanataka wajiwekee rekodi zao wenyewe za kujivunia.

2. Al Hilal wana ukaribu na Simba. Simu moja tu kwa uongozi wa Al Hilal unafuta uwezekano wote wa Al Hilal kuilegezea Yanga labda kama simu hiyo ina ombi maalumu la namna hiyo ila sioni huo uwezekano.

3. Al Hilal lazima wajiulize nani ana uafadhali akija kukutana naye mbele ya safari, SM Algier au Yanga? Hili ni swali gumu ila wao ndiyo wanajua jinsi ya kulijibu.

Binafsi sioni kama Al Hilal wana vishawishi au sababu yoyote ya kuilegezea Yanga.
Madunduka,nani kawaambia yanga anataka alegezewe?
 
Sawa
 
Alikwambia nani Yanga inataka kulegezewa?
AKILI ZA WATANZANIA KAMA HUYU NIZAKIPUMBAVU SANA, AKILI ZA USIMBA NA UYANGA WANAZIHAMISHIA NJE YA MPIRA WA TANZANIA, MFANO YANGA HATA IKAENDA UJERUMANI KWA AKILI ZAO ZA KIPUMBAVU WANAWEZA KUSEMA WATALEGEZEWA HIVYO HIVYO. NI UJINGA SANA
 
Wakaze viuno tu,Al Hilal wala hana maajabu kihivyo,ni ngekewa tu.
 
Unajua Yanga anaweza akalegezewa ila asiweze kushinda, Yanga ni mbovu jamani hamuelewi somo.
GENTAMYCINE, dunduka mwenzio huyu hapa.

Narudia;

1. Yanga ikifungwa;
Hawajui soka
timu haichezi kitimu
Kila mchezaji anajichezea ajuwavyo
Yanga ni mbovu jamani hamuelewi somo

2. Yanga ikishinda
Bahasha
tiGo pesa
Marefa wamehongwa
GSM anadhamini timu nyingi
wale ni tawi la Yanga
Hawa si wale wa zamani
etc..

Ulichokiandika ni maandalizi tu ya kuendeleza umbumbumbu, ungada, udunduka na umakolo wenu wa kila Yanga inaposhinda.
 
Kuna hii dhana ipo vichwani mwa mashabiki wa Yanga kudhani Kocha wa Al Hilal Florent Ibenge anaenda kuilegezea Yanga ili ipate walau sare katika mechi ya Jumapili. Ngoja nikwambie kwa nini hilo ni gumu kutokea.

1. Al Hilal wanataka kumaliza group stage kwa alama nyingi inavyowezekana na bila kufungwa. Hapa kuna sababu tatu. Kwanza, ni kuhakikisha wanamaliza wakiwa wanaongoza kundi. Pamoja na kwamba sare inaweza kutosha kwao kujihakikishia kuongoza kundi ila asiwaamini sana Yanga kwenye hilo, wanaweza kukubaliana watoke sare wakawageuzia kibao mwishoni mwa mechi, awe makini sana.

Pili, kumaliza kwa point nyingi na kufika mbali kwenye mashindano ni kwa ajili ya CV binafsi ya Ibenge itakayombeba mwishoni mwa msimu. Tatu, wanataka wajiwekee rekodi zao wenyewe za kujivunia.

2. Al Hilal wana ukaribu na Simba. Simu moja tu kwa uongozi wa Al Hilal unafuta uwezekano wote wa Al Hilal kuilegezea Yanga labda kama simu hiyo ina ombi maalumu la namna hiyo ila sioni huo uwezekano.

3. Al Hilal lazima wajiulize nani ana uafadhali akija kukutana naye mbele ya safari, SM Algier au Yanga? Hili ni swali gumu ila wao ndiyo wanajua jinsi ya kulijibu.

Binafsi sioni kama Al Hilal wana vishawishi au sababu yoyote ya kuilegezea Yanga.
Akitokea Rage, akakuambia wewe ni mbumbumbu! Hivi utanuna kweli, kutokana na hiki ulichokiandika hapa!!
 
Ni kweli umesema na zaidi ya hapo kama ulikuwa hujui ibenge ni mwanachama wa simba kwa kadi
 
Ogopa hii kitu
 
Attachments

  • Screenshot_20250111-224743_WhatsApp.jpg
    Screenshot_20250111-224743_WhatsApp.jpg
    272.4 KB · Views: 1
Back
Top Bottom